lakini mbona sunna ambaye ni dadake wanaefatana kuzaliwa amefanya birthday ya kutimiza 30 mwaka huu? wema hana miaka 30 labda ni 28 sema anamwili wa kuzeeka tu..huyo suna mwenyewe ukimuona utasema wema ndio mkubwa2006 toa 1989 sawasawa na miaka 17......
hahahahahaha
Kwa hiyo alishiriki Miss Tanzania akiwa under age?
hahahahahahah
Mbuzi mkubwa kweli...ataje umri wake sahihi anaficha nini....she is 30
Maana yake kachukua umiss akiwa na miaka 16!Kwa mujibu wa east africa tv mwadada Wema sepetu leo anatimiza miaka 27 ya kuzaliwa
View attachment 408320
Hivi huku duniani kuna watu miaka yako haiongezeki aisee
Sunna ana 37lakini mbona sunna ambaye ni dadake wanaefatana kuzaliwa amefanya birthday ya kutimiza 30 mwaka huu? wema hana miaka 30 labda ni 28 sema anamwili wa kuzeeka tu..huyo suna mwenyewe ukimuona utasema wema ndio mkubwa
mkuu hivi unajua kama wamezaliwa wanne? kama suna ana miaka hiyo wale wengine dada zao wanamiaka 50 au?...Sunna ana 37
lakini mbona sunna ambaye ni dadake wanaefatana kuzaliwa amefanya birthday ya kutimiza 30 mwaka huu? wema hana miaka 30 labda ni 28 sema anamwili wa kuzeeka tu..huyo suna mwenyewe ukimuona utasema wema ndio mkubwa
Haswa upo sahihi 50'smkuu hivi unajua kama wamezaliwa wanne? kama suna ana miaka hiyo wale wengine dada zao wanamiaka 50 au?...
mbona mimi mzima tu mkuu,hamna laana yoyote ile iliyonifika.....hilo dua la kuku tu.Laana na ikuangamize leo usiku!
Ebu ngoja nichukue calculator maana kwa kichwa kuna namba kama nairuka[emoji1] [emoji1] [emoji1]Alikuwa miss tanzania 2006 na sheria za miss tanzania ni miaka 18 na kuendelea sasa asume alikuwa na miaka 18 iyo 2006 hadi leo ndo iyo 27?
Miaka 27 au 37...?Kwa mujibu wa east africa tv mwadada Wema sepetu leo anatimiza miaka 27 ya kuzaliwa
View attachment 408320
Hivi huku duniani kuna watu miaka yako haiongezeki aisee