Wema Sepetu atimiza miaka 27

Wema Sepetu atimiza miaka 27

mbona mwaka huu besidei imedorola? Hakuna hata kabajaji alikojizawadia!?
 
2006 toa 1989 sawasawa na miaka 17......

hahahahahaha

Kwa hiyo alishiriki Miss Tanzania akiwa under age?

hahahahahahah

Mbuzi mkubwa kweli...ataje umri wake sahihi anaficha nini....she is 30
 
2006 toa 1989 sawasawa na miaka 17......

hahahahahaha

Kwa hiyo alishiriki Miss Tanzania akiwa under age?

hahahahahahah

Mbuzi mkubwa kweli...ataje umri wake sahihi anaficha nini....she is 30
lakini mbona sunna ambaye ni dadake wanaefatana kuzaliwa amefanya birthday ya kutimiza 30 mwaka huu? wema hana miaka 30 labda ni 28 sema anamwili wa kuzeeka tu..huyo suna mwenyewe ukimuona utasema wema ndio mkubwa
 
Sunna ana 37
 
kwa mujibu wa wikipedia

Wema Sepetu
Born Wema Isaac Abraham Sepetu
28 September 1988 (age 28)
Dar es Salaam, Tanzania
Residence Dar es Salaam
Occupation
Actress Entrepreneur TV Show
Years active 2007–present
Website wemasepetu.com
Wema Sepetu (born 28 September 1988) is a Tanzanian beauty contestant who won the Miss Tanzania contest in 2006 Miss Tanzania. She represented Tanzania in Miss World 2006 which was held in Poland. She later became an actress.
 
lakini mbona sunna ambaye ni dadake wanaefatana kuzaliwa amefanya birthday ya kutimiza 30 mwaka huu? wema hana miaka 30 labda ni 28 sema anamwili wa kuzeeka tu..huyo suna mwenyewe ukimuona utasema wema ndio mkubwa

hahahahahaha....endelea kudanganyika na huyo mgawaji wa jiji
 
mkuu hivi unajua kama wamezaliwa wanne? kama suna ana miaka hiyo wale wengine dada zao wanamiaka 50 au?...
Haswa upo sahihi 50's
Kama utakubali wema,ana 27 maana yake 2006 alikuwa na 16yrs
 
Alikuwa miss tanzania 2006 na sheria za miss tanzania ni miaka 18 na kuendelea sasa asume alikuwa na miaka 18 iyo 2006 hadi leo ndo iyo 27?
Ebu ngoja nichukue calculator maana kwa kichwa kuna namba kama nairuka[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Hadi mwaka kesho kutwa ntakua nshamfikia.Yani tutakua na umri sawa
 
Hata kwa risasi juu ya kichwa SIKUBALIANI na 27 ya wema,

subiri ya jokate 25
 
Back
Top Bottom