Mwaka huu hajajipa zawadi ya mchuma wa bei mbaya?Kwa mujibu wa east africa tv mwadada Wema sepetu leo anatimiza miaka 27 ya kuzaliwa
View attachment 408320
Hivi huku duniani kuna watu miaka yako haiongezeki aisee
Mm kumbe ni kibabu kwa wema dahKwa mujibu wa east africa tv mwadada Wema sepetu leo anatimiza miaka 27 ya kuzaliwa
View attachment 408320
Hivi huku duniani kuna watu miaka yako haiongezeki aisee
Sio ajabu baada ya miaka kadhaa nkamzidi umri maana umri wake hauongezeki[emoji23] [emoji23]Kwa mujibu wa east africa tv mwadada Wema sepetu leo anatimiza miaka 27 ya kuzaliwa
View attachment 408320
Hivi huku duniani kuna watu miaka yako haiongezeki aisee
Anarudisha miaka nyuma maana anaogopa kuitwa kibibi[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Alikuwa miss tanzania 2006 na sheria za miss tanzania ni miaka 18 na kuendelea sasa asume alikuwa na miaka 18 iyo 2006 hadi leo ndo iyo 27?