Wema Sepetu atimiza miaka 27

Wema Sepetu atimiza miaka 27

Hapana jamani huu ni uongo mkubwa sana, hivi binti mwenye miaka 27 anaweza akawa amekomaa namna hiyo?
 
Kwani umri halisi wa huyu ajuza ni upi...mliosoma nae vidudu sijui chekechea hebu njoni mtwambie.
 
Kuna lile jinga linakaaga uchi uchi tu linaitwa Diva the Bawse,eti nalenyewe lina miaka 22! Zee kabisa lile pale around 30+ plus...!! Tanzania hao wanaojiita superstar uchwara wanapunguza miaka yao,zen wanaongeza zero mbele kwenye networth zao!!
 
Hao ndio ma Miss wazee mwakani na namtoa bibi yangu shamba aje kugombea..
 
Lkn hata kama kweli ana miaka 27 ila muonekano wake mbaya kwa sasa. Maana huyo zari wa Mondi anayesemeka ana 40 bado anaonekana fiti na watoto kibao anao, je wema akinyonyesha japo watoto wawili ataonekanaje?
 
Hao ndio masuperstar wetu kwenye miaka wanapunguza10 ila kwenye pesa wanaongeza 0000
 
Ukiacha mkorogo basi anazeeka kwa kasi. ...27 look like 47
 
Uzuri wa uongo, utadanganya sana. Mwisho badili udanganye, unakuwa unajidanganya mwenyewe.
 
ao waongowaongo sana kuna wakati wolper aliwai kutaja umri wake mda kidogo, uo mwaka aliozaliwa na mwaka alosema amemaliza form four ukipiga esabu ilikuwa inaonekana atakuwa alimaliza darasa la saba akiwa na miaka nane sasa sijui inawezekana vp! saivi sijui wanasema kweli?
 
Wema Kasoma shule Moja na Mwanangu,ana miaka 28.
Ni binti mdogo kabisa,maziwa hayajamkauka mdomoni,ni mwanamwali,mwacheni akue,walau akifika 36 kama Salama Jabri ataanza kutafuta Bwana
 
Birthday ya wema 2014 alikuwa anatimiza 24yrs ya 2016 miaka 27 kweli wema nomaaaaaa.
 
Alikuwa miss tanzania 2006 na sheria za miss tanzania ni miaka 18 na kuendelea sasa asume alikuwa na miaka 18 iyo 2006 hadi leo ndo iyo 27?
Anarudisha miaka nyuma maana anaogopa kuitwa kibibi[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Nadhani anamaanisha miaka 27 tangu apoteze bikra yake [emoji124][emoji124]
 
Back
Top Bottom