Wema Sepetu atupwa lupango

  • Thread starter Thread starter GP
  • Start date Start date
Vipi Kashatoka?
 
zoezi la ufukuaji makaburi linaendelea tunaomba ushirikiano
wenu wakuu
 
JF members tunaondoka sana Duniani ama JF kimia kimia wadau. Huu uzi ni wa 2009 miaka 15 imepita sasa. Lkn ktk wachangiaji 20 wa mwanzo ambao still wako active JF hawafiki 5.
 
JF members tunaondoka sana Duniani ama JF kimia kimia wadau. Huu uzi ni wa 2009 miaka 15 imepita sasa. Lkn ktk wachangiaji 20 wa mwanzo ambao still wako active JF hawafiki 5.
Nyani Ngabu pascal Mayalla na Kiranga wako hai na nimeona comments zao kwenye huu uzi za tangu 2009.

Hawa jamaa ni Legends, wanastahili tuzo ya kipekee.

Namshauri Maxence Melo aangalie namna ya kuwaheshimisha hawa jamaa watatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…