Wema Sepetu auchukia uongozi wa awamu ya tano.

Wema Sepetu auchukia uongozi wa awamu ya tano.

Nasema hivi!!
Shida zinazoikumba nchi yet kwa kipindi hiki zitamfikia kila mmoja,

Wewe shangilia lakini kunasiku utagaili kushangilia na utaanza kulalamika tu.
 
....Kuna siku yatakuhusu tuu,just wait.

Sent using Jamii Forums mobile app
As long as sikuwa na kimbele mbele cha kuiweka serikali madarakani hivyo hata yakinikuta sina cha kulaumu.
After all awamu hii haina ubaguzi katika kuisoma namba,kila mtu anaisoma kimpango wake.
Acha apambane na hali yake ili siku ingine asiwe na kiherehere cha mama ongea na mwanao.
 
Back
Top Bottom