As long as sikuwa na kimbele mbele cha kuiweka serikali madarakani hivyo hata yakinikuta sina cha kulaumu.
After all awamu hii haina ubaguzi katika kuisoma namba,kila mtu anaisoma kimpango wake.
Acha apambane na hali yake ili siku ingine asiwe na kiherehere cha mama ongea na mwanao.