Wema Sepetu, Aunty Ezekiel Husagana

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440

Ni sheedah ! Pamoja na kukanusha kwa kutumia nguvu kubwa , nyuma ya ushosti wa mastaa grade one wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu ' Beautiful Onyinye ' na Aunty Ezekiel kuna siri nzito ikidaiwa kwamba wawili hao husagana .

TUKIO BICHI
Madai hayo ya muda mrefu huku wenyewe wakisisitiza si ya kweli , yameibuka upya juzikati baada ya warembo hao kuonesha mahaba niue au nikongorowe kisha ' kudendeka ' hadharani na kusababisha mwandani wa Wema , Nasibu Abdul ' Diamond ' kukasirika na kuondoka eneo la tukio akiambatana na timu yake ya Wasafi Classic Baby ( WCB ) .

ILIKUWAJE?
Tukio hilo lililoshuhudiwa na wanahabari wetu lilijiri usiku wa kuamkia Oktoba 28, mwaka huu ndani ya Mgahawa wa Rodizio , Masaki jijini Dar ambapo Aunty alikuwa akisherehekea siku ya yake ya kuzaliwa ' bethidei' .

WEMA ATOKEA DUBAI

Shughuli hiyo ilitawaliwa na matukio baada ya Wema kuwasili ukumbini hapo akitokea nchini China kupitia Dubai alikokwenda hivi karibuni kwa biashara binafsi ikidaiwa kwamba amerejea na mkwanja wa kutosha . Wema Sepetu ‘Beautiful Onyinye' na Aunty Ezekiel wakifurahiya jambo.

Wema alitinga ukumbini hapo saa 7: 15 usiku na kuwakuta wadau wakiendelea na sherehe hiyo ambapo mara tu baada ya kufika alikumbatiana kimahaba na Aunty zoezi lililochukua dakika kadhaa wakiwa wamenasiana huku wakifunika nyuso zao kwa zile nywele nyingi za Wema hivyo kilichoendelea humo ndani hakikujulikana . Walipojifunua kwenye nywele ndipo ikabaini kwamba kumbe walikuwa ' wakidendeka' bila kujali wingi wa kamera .

WASHUTUMIWA
"Mungu wangu , leo mambo hadharani . Mbona ni sheedah ? Yaani wanadendeka hadharani! Kwa vyovyote vile Wema na Aunty husagana ," alisikika mmoja wa waalikwa. Staa wa Filamu Bongo, Aunt Ezekiel akikata keki ya bethidei yake ndani ya Ukumbi uliyopo kwenye Mgahawa wa Rodizio Masaki .

Mmoja wa waigizaji chipukizi alidakia : "Yaani utadhani wapenzi kabisa maana kila mmoja anaonesha hisia za kumisiana. Hawaogopi kuambiwa wanasagana ? Haya bwana, yetu macho maana leo tutaona mengi. Vitendo kama hivi ni vya kulaaniwa vikali na kuwakumbusha kwamba wao ni kioo cha jamii."

DIAMOND AKASIRIKA , AONDOKA
Kufuatia hali hiyo , Diamond alionekana kukasirika na kushindwa kuvumilia hivyo aliamua kuwaacha wajinafasi kwa kuondoka ukumbini akiwa ameambatana na timu yake . Waalikwa waliokuwa ndani ya ukumbi huo waliendelea kupigwa butwaa na kitendo hicho hasa Diamond alipoamua kusepa huku nyuma Wema na Aunty wakibaki huru na kuendelea kufanyiana mambo ya kimahaba mara nyingine wakati wakilishana keki kwa staili ya njiwa .

Diamond na Aunt Ezekiel wakijadiliana jambo muda mfupi baada ya kuwasili ukumbini hapo .

AMANI LAMVAA AUNTY
Baada ya kuona hali hiyo , paparazi wa Amani aliyekuwa ukumbini hapo alimvaa Aunty na kumuuliza kwa nini ameamua kuonesha hali hiyo mbele ya kadamnasi ambapo alijibu hakuna mambo ya usagaji. Alisema hali hiyo ilitokea tu maana yeye na Wema ni marafiki ambao wameshapitiliza hivyo wamejikuta wakiwa kwenye hali hiyo bila wao kuona kama ni tatizo. "Kwani nani asiyejua kama mimi na Wema ni marafiki, suala la kukisiana ni jambo la kawaida kwetu.

MAMA LA MAMA
Kwa upande wake mama la mama Wema aliishia kusema kuwa alimmisi sana shoga ' ke na hakuna jambo la ajabu ambalo amelifanya juu yake maana wao ni marafiki kama marafiki wengine .

Chanzo: GPL
 
Attachments

  • jf.jpg
    33.9 KB · Views: 7,967
Hiz k hua ni nzuri kwa mwanaume tu kwa mwanamke mwenzio kinyaaaa kushika k ya mwenzio
 
Hiz k hua ni nzuri kwa mwanaume tu kwa mwanamke mwenzio kinyaaaa kushika k ya mwenzio

kinyaa wenzio wakati hadi wananyonyana visimi uko chini, nasikia wanapakaga dawa mdomoni ya kuua vidudu vya bacteria na wana condom zao special wanazivaa mkononi then wanachokoana uko kwa bibi
 
kinyaa wenzio wakati hadi wananyonyana visimi uko chini, nasikia wanapakaga dawa mdomoni ya kuua vidudu vya bacteria na wana condom zao special wanazivaa mkononi then wanachokoana uko kwa bibi

Sidhan kama wanafanya hivyoo haoo,mi siwezi kushika k. Ya mwanamke yeyote zaidi ya kwangu yaan nikifikiria sitak kabisaaaa na sitakuja kushika kamweee
 
Sidhan kama wanafanya hivyoo haoo,mi siwezi kushika k. Ya mwanamke yeyote zaidi ya kwangu yaan nikifikiria sitak kabisaaaa na sitakuja kushika kamweee

Mh ni kweli hivo vifaa wanavo tumia havina standard yoyote u supa staa bongo ni kufanya upuuzi eti una shika k ya mwenzako mi siwezi kah
 
Mh ni kweli hivo vifaa wanavo tumia havina standard yoyote u supa staa bongo ni kufanya upuuzi eti una shika k ya mwenzako mi siwezi kah

Wengine wanavyonuka k hivyo ,wengine wachafu,aaaarrgghhh waendelee wao tu mi inipite kushoto mi hata awe Kim Kardashian sishiki k yake, kila mtu ashike yake tu anavyowezaaa
 
Hivi hiyo biashara aliyoenda kuifanya wema huko china na Dubai tena karudi na mkwanja wa kutosha ni ipi hiyo?diamond alisema kaenda kununua vifaa...
Hayo mengine sitaki hata kuyasikia.. watu wamelaaniwa jamani!!!
 
Nasikia alienda kwa Buzi, na Martin kwa Buzi yaan ni mabuzi tuuuu
 
Nasikia alienda kwa Buzi, na Martin kwa Buzi yaan ni mabuzi tuuuu

Hahahaaaa na petit man je?au yeye alikua anabeba pochi kama kawaida yake?
Masikini esma kujidai naye kaolewa...
 
Hahahaaaa na petit man je?au yeye alikua anabeba pochi kama kawaida yake?
Masikini esma kujidai naye kaolewa...

Huyo petiti? ??? Aje warumi aongezeee yoteeeee
 
Can you post something that's actually interesting? So what if two girls are kissing? It's not like no one has ever seen it. Get over yourselves.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…