warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
- #61
Wema ameamua kujibidisha domo amemnunia matokeo yake anachepuka na kaex ka kalala junior, benzi pia lilileta mtafaruku. Kajala amefulia mbaya CK hadhikiki tena. Hata kodi ya nyumba majanga.
Sijajiandaa kujibu maswali mnitafute kwa wakati wenu
Binamu silali mpaka unipe maubuyu mimi