Wema Sepetu, Aunty Ezekiel Husagana

Wema Sepetu, Aunty Ezekiel Husagana

Wema ameamua kujibidisha domo amemnunia matokeo yake anachepuka na kaex ka kalala junior, benzi pia lilileta mtafaruku. Kajala amefulia mbaya CK hadhikiki tena. Hata kodi ya nyumba majanga.
Sijajiandaa kujibu maswali mnitafute kwa wakati wenu

Binamu silali mpaka unipe maubuyu mimi
 
Wema ameamua kujibidisha domo amemnunia matokeo yake anachepuka na kaex ka kalala junior, benzi pia lilileta mtafaruku. Kajala amefulia mbaya CK hadhikiki tena. Hata kodi ya nyumba majanga.
Sijajiandaa kujibu maswali mnitafute kwa wakati wenu

Hahahaha unajibu ka mudy Washington hahaha..staki kucheka mie..
 
Nasikia alienda kwa Buzi, na Martin kwa Buzi yaan ni mabuzi tuuuu

n martin nae alienda kwa buzi kumbe..kuhusu hawa tumwachie mungu afanye kazi yake.kwani atawapa watoto bilashaka na sidhani kama watapenda watoto wao wawe hivi.tz vip lakini hata hawa wenzetu hawako hivi.hata mimi ningekua domo nisingefurahia huu usodoma.kwanza mwanamke mwenzako hainiingii akilini.staki ushoga wa hivyo hata sikumoja.
 
Heaven Sent na geniveros piten kwa sinta mcheke wenye waume wazungu wanawagawa eti wamewachoka wana gubu ,wachoyoo, ukiiona mke wa mzungu mwembamba sio diet hiyo ni stress " nimechekajee

Hahaha bina nimecheka tu na yule alosema alitumia dodo sijui cream gani vile, ameota ndevu kama Osama. Na mwingine kaambiwa mtumbo mbaya kama amepanga tairi za vits hahaha
 
Last edited by a moderator:
shosti na wewe Mpana kama Pazia la sinema ? nimeona sasa hivi mbavu sina hahahaha maana wengine wanatamani acha wagawe tu

Yaan shoga wadau wa Sintah wana maneno sijui wanayatoaga wapiii,yaan we ukitaka kucheka pita kwa sinta,
 
Hahaha bina nimecheka tu na yule alosema alitumia dodo sijui cream gani vile, ameota ndevu kama Osama. Na mwingine kaambiwa mtumbo mbaya kama amepanga tairi za vits hahaha

Yaan wana vitukoo aiseee
 
warumi nimemuona Aunt ezekiel ana mimba kwelii kwenye kipindi cha mtani jembee hhhhhaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom