Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kuniambia nimeshamkosa tayari manake nilikuwa najaza mfuko nimtafute duhh huyu jamaa kanivurugia mipango yote.Sasa hivi nilivyo vikusanya ni vipeleke wapi ahhh kwani miss no 3 nipeni jina manake n0 2 yule jamaa aliyekuwa naye kanizidi mawe fanya mchezo basketball nini tena nba kudadadeki zake
Miss no 3 mwaka ule anaitwa Lisa Jensen
by the way hawa ma bf wake majoka ya kibisha kweli...yaani muda wote huu wanacheka cheka naye tu ...piga mapacha akae kitako anyonyeshe..kudadadekiiiii...uza uza nyago tu hapa bila kuujaza ulimwengu
hizi pete za midnight club tena watu wapo tilatila ni kinywaji hizi... asubuhi hata hawakumbuki kilichofanyika...vijana wa dot com bana
Wana sindano zao wanapiga. Utabandua wee mpaka uchanganyikiwe hawapati mimba ng'o.kigogo umenifurahisha saana, nakubaliana nawe kuwa hao wanaume wote waliokula mzigo hapo, wote ni majoka ya kibisa, ningekuwa mimi mtoto angekuwa amejazwa kitambo hicho kitumbo chake.
Wema akikaribishwa kuja kuvishwa pete na Mwinyi ambae amecheza kama Diamond Platnums.
Mwinyi alisema huyu ndio mwanamke nilietulia nae baada ya kuzunguka huko kote na nahitaji awe wangu wa maisha, ni maneno ambayo Diamond aliyasema siku ya kumvisha Wema Pete.
.
Wema akivishwa pete.
Yote hii ilikua inarekodiwa na ni sehemu ya hiyo movie mpya ya Wema, sio kweli kwamba Wema na Mwinyi ni wachumba, hapa ni sanaa tu.
.
Ndani la gari la Wema Sepetu akifanya Exclusive interview na Millard Ayo saa tisa kasoro usiku Maisha Club.
.
Millard Ayo kwenye interview na Mwinyi wa Machozi Band Maisha Club.