Wema sepetu avishwa pete

this girl is a disgrace to her family...it is worthless for me personally to put efforts to discuss what she is doing....she is always after media attention na huo ni upumbafu na akili za watoto...samahani lakini ....
Leave her alone, it's her life afterall.
 
ka wema mi naka admire sana yaan ingekua uwezo wangu mi ningekaoa ivo ivo na kashfa zake zote, ata kama matapishi mengine matamu bwana, chezea wema wewe
 
me nampongeza wema cz anajar yake zaid....kwakuwa star basi watu wanamwona kama kicheche vile...wewe usie star inawezekana umemzid ukicheche ushukuru hujulikan ....
 
Kwa idadi ya pete alizokwisha vishwa, anaweza kufungua duka la pete na kuuza kwa mwezi mzima kwa wateja wasiopungua watano kwa siku bila kuongeza stock!!!

Inamaana hazirudishagi akipigwa chini? haa haa haa
 

Acheni kupotosha ukweli. Wema yuko kwenye shooting ya movie kuhusu maisha yake na si kama wewe unavyoileta hapa.
 
Acheni kupotosha ukweli. Wema yuko kwenye shooting ya movie kuhusu maisha yake na si kama wewe unavyoileta hapa.

bora umeiweka sawa maana ata kachick ka primary hakawezi kukubali kuchezewa hvyo lbda ka kamewehuka
 
Denda nje nje.. Huyu dada anatisha lol


Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
 

Hiyo pole mbona ungekwenda upande wa pili!
 

Hongera dada Wema kwa kuvishwa pete ya kumi. Tunakuombea hii ya sasa iwe engagement ya kweli!
 
...nani kakudanganya tunda la kati linazeeka..!?

...atatulia saiv...

hatatulia japo shav lishaanza kuota kunde,huu mchokocho wa kila cku mtu mpya unazeesha.huyu mwiny ndo yule jumbe?mh kipwapwiso cha huyu mama kina masugu asee
 
JF mmeishiwa kiasi hichi hii post ya mwaka 2000 sijui acheni kutushusha hivi visitors wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…