Wema Sepetu awajibu wakware wa mitandaoni

Mhhh ila Message delivered mimi Nyasamaki Nafungaje Mwaka ............ Mbuta nanga! :behindsofa:
 
Mhhh ila Message delivered mimi Nyasamaki Nafungaje Mwaka ............ Mbuta nanga! :behindsofa:

Badala ya kuisifia murrano ya baby wake anaifuraia BMW ya kaka manager? Mmh kazi ipo kweli mwaka huu, sie yetu macho, yan zawad ya ndomo haina mashiko tena? Sisi yetu macho kwa kweli
 
vipi na ile murano......?

Mmh ilo nalo neno binamu, yan watu kabisa na akili zao wanafuraia mama ubaya kahongwa BMW alipoipata haijulikani, movie ya ile nyumba ya mil 400 inaendelea,mi ndo anidanganyanyi mtadanganywa nyie
 
Mi naona aachane kujibizana na wapuuzi zawadi kapewa mengine yanatoka wapi siku hizi naye anajifunza mipasho juzi kawakashify watu na tecno na huwawei mashabiki na wanaomzungumzia ndo wamemfanya asisahaulike maneno yatamponza bichwa sasa hao wanaomukngelea ndo anakua hasauliki si aachane nao kiroho safi
 
Badala ya kuisifia murrano ya baby wake anaifuraia BMW ya kaka manager? Mmh kazi ipo kweli mwaka huu, sie yetu macho, yan zawad ya ndomo haina mashiko tena? Sisi yetu macho kwa kweli

hyo kadi mbona ya tarehe 21 mwezi wa 8 akati birthday ilikua mwezi wa 9 au alinunuliwa muda mrefu na mopao kazi ikawa kulitoa ili dangote asijue.
cc Dinazarde
 
Last edited by a moderator:
hyo kadi mbona ya tarehe 21 mwezi wa 8 akati birthday ilikua mwezi wa 9 au alinunuliwa muda mrefu na mopao kazi ikawa kulitoa ili dangote asijue.
cc Dinazarde

Na ndomo anajua ilipotoka? Na huyo martin ana unyembe gan wa kumnunulia wema bmw wakat yey anakokota fun cargo?

Huyo manager nae akili hana, baada ya kumrudisha wema kwenye movie anakazana kumtafutia wanaume na kupeana kick za ajabu ajabu, na hao wanaume mabwana zake ningewaona wa maana kama wangemtafutia bibie kazi, maana kutwa ye kuhongwa tu

Wema toka mwaka 2006 alivyopata ile rav 4 ya miss Tz, mpaka kesho hajawah kununua gar, kaz kuhongwa na wanaume na kupokonywa kazi anayo, anajifanya kupiga makelele kwa magar ambayo hata hajui yamenunuliwaje? Kazi anayo
 
Last edited by a moderator:
Kweli huyu mwanamke si wa kuweka ndani, kichwa nazi kabisa.Diamond chezea huyo ukishamtumia weka mwanamke mwenye akili ndani awe mama wa watoto wako.
 
Nilikuwa nadhani wav wanamunea Wema kumbe ni kichwa nazi kabisa, yani yeye maisha yake binafsi anataka iwe ni habari ya kitaifa?
 
Mhhh ila Message delivered mimi Nyasamaki Nafungaje Mwaka ............ Mbuta nanga! :behindsofa:

Jinunulie hata baskeli halafu nipe nije kukutunza...utaufunga mwaka kwa kick ya hatari...
 
Badala ya kuisifia murrano ya baby wake anaifuraia BMW ya kaka manager? Mmh kazi ipo kweli mwaka huu, sie yetu macho, yan zawad ya ndomo haina mashiko tena? Sisi yetu macho kwa kweli

BMW inaongelewa zaidi kwa sababu ndio inayoleta maneno, mara haijatoka kwa kaka manager, mara imetoka kwa mkongo, sijui TRA, sasa murano haina mjadala its clear imetoka wapi.
 
BMW inaongelewa zaidi kwa sababu ndio inayoleta maneno, mara haijatoka kwa kaka manager, mara imetoka kwa mkongo, sijui TRA, sasa murano haina mjadala its clear imetoka wapi.

Ila na yeye afanye kazi bwana, sasa anategemea kupewa zawadi mpaka lini? Na wakigombana gar anapokonywa maana kuporwa gar wema sio mara ya tatu wala ya kwanza, hao wanaomuonga magar ningewaona wa maana kama wangemtafutia kazi, sasa gar kama BMW atalihudumiaje sasa? Mmh
 
Nilikuwa nadhani wav wanamunea Wema kumbe ni kichwa nazi kabisa, yani yeye maisha yake binafsi anataka iwe ni habari ya kitaifa?

Nashangaaga sijui kwa nn hao wanao muhonga magar wasimtafutie kazi ya maana akafanya walau na yeye akawa anajitegemea kivyake

Wema tatizo kazoea maisha ya kupewa , ata chupi ananunuliwa yule, kwanza tokea apate gar la umiss mwaka 2006 mpaka kesho wema hajawah kununua gar kwa pesa yake, matokeo yake kila siku anadhalilishwa, anasahau kuwa cha mtu mavi, alivyodhalilishwa na clement kupokonywa had vifaa vya kampun bado hajajifunza, wanaume ni wale wale tu zinatofautiana size za ududu tu ila tabia ni zile zile
 
hapo umenena, kiukweli uvivu wa wema umezidi, kwa jina lake lilivyokubwa wema angetakiwa kuwa mtu wa maproject kibao, lakini hana afanyalo vyooote alivyonavyo ni vya kuhongwa, inaboa sana, na ndio maana watu wanamuita malaya, kwani haiwezekani mtu huna kazi alafu unavitu vya thamani. mbaya sana!!
 
Mmmh jamani msiwe waongo aliepost sio wema alieandika huo ujumbe ni Martin ndio aliandika ndio maana akasema Mr BMW.. na huyo Wema replies ni moja ya team za wema sepetu alichofanya ni ku repost
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…