Wema Sepetu azua mjadala, adai anapenda kupigwa na mwenza wake

Wema Sepetu azua mjadala, adai anapenda kupigwa na mwenza wake

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa muda mrefu nchini, @wemasepetu amedai aliwahi ahidiwa kutopigwa kwenye mahusiano kipindi anaanza mapenzi na mwanaume fulani ila hali ikabadilika na kiapo kikayeyuka akaanza kuchezea vitasa vya uhali gani mahabuba.👇

“Nakumbuka zamani wakati naanza mapenzi na mwanaume flani, alishanitamkia hajawahi na hatowahi kumpiga mwanamke, Ila kwangu bwana akagonga mwamba na hicho kiapo... Kiukweli nili enjoy sana...😂😂😂

Moral of the story: Kupigwa na baby wako kuna raha yake, haswa pale kwenye kubembelezana... Ila sasa sio tupigane kama wezi... Kidogo tu sio mbaya... Alafu iwe mara moja moja sio Daily... 😉😉😉

Sio lazima wote tufanane... Kuna wasio penda kupigwa ila as for me, kushtua shtua one tym one tym is very Healthy jamani..”- Wema

Je kwa mwanamke ukipigwa na mpenzi wako kuna raha unasikia?

Na je, kwa mwanaume ukimpiga mweza wako unahisi mapenzi yako kwake yanazidi?

Wakuu, naomba mitazamo yenu juu ya kupigwa(domestic violence) kuhusishwa na kipimo au kidhihirisho cha mapenzi kwa mwenza wako.

Fungukeni tafadhali
 
Wanawake jigunzeni

1.Mtajiita pisi kali mnataka muwe mabinti milele mnaendelea kikarabati miili kuondoa nakunyanzi, mvi na vielelezo mbalimbali vya uzee

2. Mnakataa wachumba eti hawajasoma , hawana kazi hawana future mnataka muishi na ma mishentown wenye maisha ys kuigiza kila siku club, dume zima linasherekea birthday

3. Mnapata ujauzito mnatoa, mnaua watoto mliopewa na Mungj eti, muendelee kuwa wasichana daima eti , mdifukuzwe shule, eti mchumba wako asijue kuwa ulikuwa unagawa kavla ya kukuposa

4.Mmeolewa bado mnaleta harakati ndani ya ndoa, unataka kumkalis mume kichwani, hutaki kuonywa na mumeo unazunguka kwa waganga umtibiti mmeo, waganga na uchafu na natunguri yao nao wanakutafuna kwa ujinga wako

5. Muda unapita unatamani mume,muda unapita unatamani mtoto haiwezekani tena too late, utatsmani hata kofi la mwanaume ila hotolipata, utatamani kusikia sauti ya mtoti utaishia kuwa na midoli na kuguga vi mbwa kamwe haviwezi kuchukua nafasi ya mtoto

ONYO: UTOAJI WA MIMBA NI MAUAJI USISHIRIKI WALA KUSHAURI BORA AIBU YA MUDA KULIKO DHAMBI YA MILELE
 
Wanawake wa Kikurya(Watende) walianza ku practice hii muda mreefu sana. Kupigwq na wenzi wao ndio fantasy yao kubwa kwenye mapenzi na ndoa. Kinyume chake wanahisi hawapendwi!!!😀😀😀
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Hajasema anapenda kupigwa na nini!
Huenda ni kile ninachokiwaza mimi.
 
Hajasikika muda mrefu, wakati ni ukuta, amwachie Kajala jr sasa hivi....

Anataka ajulikanebtu
 
Back
Top Bottom