Kalulu Metusela
Member
- Dec 10, 2011
- 78
- 21
- Thread starter
-
- #21
baelezee...!...hii tabia ya kujichubua mtu akianza kuacha hawezi, anakuwa "addicted". Na akija kufanikiwa kuacha basi rangi yake/ngozi yake huwa mbaya mbaya mbayaaaaa....!!!! Ni ulimbukeni tu wetu sie wasichana/wanawake, tunahisi weupe ndio uzuri kumbe wapi..... Black is beuty....am proud of my chocolate colour...!
Kweli huu ni ugonjwa... Sidhani kama mtu na akili zake anaweza fanya hiki kituHuu ugonjwa wa kuthamini uzungu unaitwa negro-negrophobia,ndo uliwaathiri na kina michael jackson,kuamini kila cheupe ni superior
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
wanatumia kitu inayoitwa OBAGI.....yani hiyo hata chausiku anakuwa kama mwarabu
Soooo saaaad
Wanafikiri wazungu na weupe wao ndio watu bora kuliko sisi wanataka kuwa kama wao. Brain washed people like Wema wanajikuta wakijichubua hovyo hovyo tu, kawa kama kiti moto vilenafikiri wanawake wana imani kuwa wanaume wanapenda wanawake weupe. Ndio maana wanajitahidi kujikoboa ngozi.
Huyo nadhani ndio mwalimu wao., utasikitika ukiziona picha zake za send off na harusi yake., she looked soo ugly yani., sababu ya mkorogo nadhani make up zilimgomeaKuna na yule Sauda Mwilima mtangazaj wa Star TV amejichubua kachukiza kabisa. Who do they try to kid kwamba wao ni weupe kama waarabu, mbona weupe wa asil na wakujichubua unafahamika kabisa. Ukijichubua unaonekana soo mshamba
Na hii je?
Inasikitisha jomba., sijui nani kawadanganyaebana hawa wadada sijui nani kawaroga...kuna dem mtaani niluondoka kama mwaka juzi nimerudi kumwona bado kidogo nimpite yaani amekuwa ka albino af yaani mishipa ya damu inaonyesha hadi chembe hai yaani inatisha wadau
Baada ya kujichubua umekuwa na ngozi kama ya kitimoto