Wema Sepetu, bora usingejichubua

Wema Sepetu, bora usingejichubua

Status
Not open for further replies.
kwa taarifa yako hio picha kushoto wema hakuwa natural,alikuwa keshapitisha mkorogo wa kumfanya ngozi ing'ae....hio ya kulia ni kazidisha tu mkorogo,sio kusema alikuwa hatumii....
 
Na hii je?
Super-Star-Launch.jpg

hii ni kama picha ya kuchorwa (anaonekana kama mchina)

uzungu mwingine hamjaustukia hapo chini? ...mbona hamsemi sasa!
 
mkuu usimlinganishe Wema kuku wa kienyeji na Wema kuku wa kizungu, ni tofauti kabisa.
 
Wenzio hawalali wanamtafuta usiku na mchana .Mkorogo kwa wengine sio tatizo
 
Wabongo kwa mAjungu.....hamchokii.....Wema mzuri tu.
una akili kama dudu la nyani kweli kabisa......tumia akli kujibu thread.....nani kasema hakuwa mzuri?...buji buji thread yake iko wazi kabisa.....wewe unatuambia mambo yasio na tija.....
 
Atajijuuuu who cares??akitaka ajiloweke kwenye mkorogo kabisa!
 
Mi sielewi kabisa inakuwaje katika karne hii ya 21 bado wadada hawajaelimika. Hakuna kilicho bora kama kitu natural. Watajajutia wakizeeka uso utakapowashuka
 
uyo wa kushoto young, naive, cuuuuuuuuuuuuuute ila uyu wa kulia gumegume
 
Ndiyo maana napenda vitu asilia. Wema wa kushoto mtoto amependeza yaani ni moto lakini huyu wa kulia hata akivua nguo zote na kubakia uchi kitu haisimami dah!
 
Ndiyo maana napenda vitu asilia. Wema wa kushoto mtoto amependeza yaani ni moto lakini huyu wa kulia hata akivua nguo zote na kubakia uchi kitu haisimami dah!


aaaaaaaahhhhhh!!!!!
 
I wonder what happened to keeping it real. Madada zetu siku hizi wanasikitisha sana. Nilikuwa nampenda sana Wema hasa kutokana na uzuri na mvuto wake.

Wema alikuwa ana rangi nzuri sana kipindi cha nyuma kabla hajaanza kujichubua., sijui nani amemdanganya weupe ndio dili. Ukiangalia picha zake za zamani ni tofauti sana na za sasa., sasa hivi amekuwa kama katuni., magoti yake yamejaa alama, mishipa ya damu unaiona bila hata kutafuta, this is sooo bad.

jamani madada jitahidini kukeep rangi zenu. halafu siku hizi kujichubua ni ushamba., its for the uncivilized people., embu cheki picha zake za zamani hizo mbili na alivyo sasa(alizopiga kwenye nyumba yake mpya)., kwa kweli kwa hili nimemshusha wema kwenye list yangu ya walimbwende. kama kuna rafiki yake yeyote jf jamani amshauri huyu binti aache KUJICHUBUA.. THIS IS TOO MUCH....!
sio siri anasikitisha.at first she was something you would'nt wish to stop looking at.but now aaaghhhhhh so boring for real.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom