Wema Sepetu, bora usingejichubua

Status
Not open for further replies.
Je, niaje? Nataka kufuata nyayo za wema! Je unasemaje?
 
kwa sasa ni toy wa kichina, nilisoma kwenye gazt moja la udaku liliandika wema yupo hatarin kuoza kama ilivyo kuwa kwa michl jackson, ni baada ya kufanyiwa uchunguzi na daktari.
 
wanawake ni pompopo hawajifunzi kwa wengine! Utatashangaaa wengine wana toka hapa nakwenda kuyapaka hayo mataktak
 
Mbona ndio wanazidi kumtaka?
 
ebana hawa wadada sijui nani kawaroga...kuna dem mtaani niluondoka kama mwaka juzi nimerudi kumwona bado kidogo nimpite yaani amekuwa ka albino af yaani mishipa ya damu inaonyesha hadi chembe hai yaani inatisha wadau

heheheheh dah mdau umezidisha chumvi hadi chembe hai ambazo huonekana maabara kwa darubini unaziona.....teh teh
 
mkorogo haufai kweli kbs, lakin pia bibie wema anajichubua kishamba jaman kama mama wa kiswahili jaman!!!!
 
bt michael jackson alichomwa cndano na illuminate iliyompa ugonjwa ule hakujichubua..sababu walitaka akumbukwe kama alikuwa mzungu!!!
 
bt michael jackson alichomwa cndano na illuminate bila yeye kujua iliyompa ugonjwa ule wa kuwa mweupe wakitaka akumbukwe kama white
 
Mimi nadhani si kujichubua tu, hata mileage pia zimeenda sana! A woman is getting old..............
 
Mimi nadhani si kujichubua tu, hata mileage pia zimeenda sana! A woman is getting old..............

duh! Hii kitimoto ntaipata wapi jamani? Mi mate yantoka. Mwanamke anapozeeka anakuwa na rangi yake ya mwanzo. Tofauti na ile oestrogen modified skin colour.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…