Wema Sepetu EATV

Wema Sepetu EATV

Kifai

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
816
Reaction score
173
Kwa hiki kipindi cha wema sepetu kinachorushwa na eatv bado cjakielewa maana yake haswa ni nini? Ambae anaelewa aniweke sawa kidogo
 
Dah wiki iliyopita nilicheka sana...kumbe martin hua anamtengeneza wema nywele???
Alafu eti anajisifu yeye ni mlevi,dah
 
Do you think kina funzo lolote kwa jamii??

Kwa kiasi chake yeye ni kioo cha jamii kwahyo kaamua kuweka maisha yake hadharani kwa mashabiki wake wamfahamu zaidi pia kina entertain
 
Ila mambo mengine hata hayana funzo zaidi ya ukahaba tuu
 
Ila mambo mengine hata hayana funzo zaidi ya ukahaba tuu

Mwache na maisha yake usimpangie kwani yeye ni wakwanza kwenda club ile ni life style yake no one has the right to question umejuaje ni kahaba it seems you hate her ndo mana umekimbilia kumwanzishia Uzi
 
Maana yangu ni kwamba yy kama kioo cha jamii hakupaswa kuonyesha ishu kama zile za club kwa saaaana, kulewa na kutukana watu cyo ishu wewe unadhani anafundisha nini jamii? ??
 
Hakuna cha kumpenda mtu gani kioo cha jamii daily yupo club tuu, anafunza nini sasa jamii????

Unajua maana ya kioo cha jamii??

Hiv kioo chako kile huwa kinakuonesha ulivyo au kinakupa image nyingine? Hawa watu ni vioo vya jamii kwa maana kwamba wanareflect yale ambayo yapo ndani ya jamii.jamii ndo inaset standard sasa kupitia wao jamii inapata kuona vile ilivyo.
 
Maana yangu ni kwamba yy kama kioo cha jamii hakupaswa kuonyesha ishu kama zile za club kwa saaaana, kulewa na kutukana watu cyo ishu wewe unadhani anafundisha nini jamii? ??

Kioo chenyewe kimechafuka! jamii itajitazamaje sasa? Hiyo ni endless fame what she is doing is to make sure she is always in our talk! Mi sioni jamii inafundishikaje! Vipo vioo vya jamii ila sio hicho.
 
Back
Top Bottom