Wema Sepetu: I am not a drug addict, and I am not a drug abuser (Exclusive)

Kuna watu Dunia wana scandal hadi unajiuluza huyu amezaliwa na mwanamke mwenye uchi aina gani maana kila baya la aibu yeye yumo tu
 
Kwani mpaka makonda anafikia hatua ya kuwaita kituo cha polisi hakufanya utafiti wa kina kubaini yipi ni mhusika na yupi siyo, na kama kuna mtu ambaye ametajwa na hajihusishi na madawa anatakiwa kuchukua hatua juu ya kudharirishwa
Hii filamu binafsi sijaielewa kabisa
 
Wema ulitangaza tu hapa juzi kwamba 2017 unakuja upya..
Naona ndio upya wenyewe huo kwenye suala la madawa ya kulevya.
Kumbe na weee TEJA..
 
Kwa mujibu wa makonda inasemekana hao waliokamatwa, kuna wale wanaouza na wale wanaotumia, pengine yawezekana wengi wao wanafanya kazi ya kuuza kwa sehemu kubwa ndio maana hatuoni yanawapeleka, ila kwa mtu kama chidi inaonekana moja kwa moja ya kuwa alishakuwa mwathirika wa haya madawa
 
Wema Sepetu anataka kuweka jambo moja ‘very clear’ kuwa yeye si mtumiaji wa madawa ya kulevya.

Wema.jpg

Staa huyo ametoa kauli hiyo baada ya kuwepo kwenye orodha ya mastaa wanaotuhumiwa kubwia unga na walioamriwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kujisalimisha kituo cha polisi central jijini Dar, Ijumaa hii kwa mahojiano zaidi.

“Mimi kama Wema nimekuwa nikisemwa sana kuhusu kujihusisha na utumiaji wa madawa ya kulevya na hata kujihusisha katika kuuza madawa ya kulevya,” amesema Wema kupitia app yake.

“Sometimes wanasema nimefungwa, sometimes nimenyongwa, sometimes nimekamatwa hususan pindi ninaposafiri kwenda nchi mbalimbali, na sasa hivi nimeambiwa kwamba natumia madawa ya kulevya. Well, ni habari ambazo mheshimiwa mkuu wa mkoa amesema hana uthibitisho nazo lakini amelazimu kutaja majina kadha wa kadha ambayo ndio hivyo ameyataja mengine kwenye vyombo vya habari, na ameamuru twende tukaripoti kesho (leo Feb 3), ifikapo saa tano asubuhi,” ameongeza.

“Mi nasema hivi, nitaenda, nitaripoti, kwasababu ni wito ambao ametaja mkuu wa mkoa wangu kuona amefanya, unaambiwa kubali wito, usikatae neno. Kwahiyo tutaenda kesho, na ntamsikiliza yale ambayo anataka kuniambia, iwapo tukishajua which is true, which is not, then tutajua from there what to do, sasa hivi sina cha kusema, sina cha kufanya, because bado sijaonana naye, kwa sasa niacheni tu nirelat but I want to assure you one thing, I am not a drug addict, and I am not a drug abuser, and if I was nadhani we all know how drug addicts act, we all know how drug abusers wanakuwaga. I want you guys to relax, do not worry, everything is going to be fine.”

Mastaa wengine waliotajwa ni TID, Mr Blue, Chidi Benz, Recho na wengine.

SOURCE; Bongo5.com
wawe makini, hivi wanajua kama kesi ya madawa ya kulevya haina dhamana? akiwekwa ndani miezi miwili tu huyo hautaamini kama alishawahi kugombea umiss.
 
Wema mwenyewe mambo yake ni madawa ya kulevya hana haja ya kubwia cocaine maana yeye ni zaidi ya madawa ya kulevya
 
Wema Sepetu anataka kuweka jambo moja ‘very clear’ kuwa yeye si mtumiaji wa madawa ya kulevya.

Wema.jpg

Staa huyo ametoa kauli hiyo baada ya kuwepo kwenye orodha ya mastaa wanaotuhumiwa kubwia unga na walioamriwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kujisalimisha kituo cha polisi central jijini Dar, Ijumaa hii kwa mahojiano zaidi.

“Mimi kama Wema nimekuwa nikisemwa sana kuhusu kujihusisha na utumiaji wa madawa ya kulevya na hata kujihusisha katika kuuza madawa ya kulevya,” amesema Wema kupitia app yake.

“Sometimes wanasema nimefungwa, sometimes nimenyongwa, sometimes nimekamatwa hususan pindi ninaposafiri kwenda nchi mbalimbali, na sasa hivi nimeambiwa kwamba natumia madawa ya kulevya. Well, ni habari ambazo mheshimiwa mkuu wa mkoa amesema hana uthibitisho nazo lakini amelazimu kutaja majina kadha wa kadha ambayo ndio hivyo ameyataja mengine kwenye vyombo vya habari, na ameamuru twende tukaripoti kesho (leo Feb 3), ifikapo saa tano asubuhi,” ameongeza.

“Mi nasema hivi, nitaenda, nitaripoti, kwasababu ni wito ambao ametaja mkuu wa mkoa wangu kuona amefanya, unaambiwa kubali wito, usikatae neno. Kwahiyo tutaenda kesho, na ntamsikiliza yale ambayo anataka kuniambia, iwapo tukishajua which is true, which is not, then tutajua from there what to do, sasa hivi sina cha kusema, sina cha kufanya, because bado sijaonana naye, kwa sasa niacheni tu nirelat but I want to assure you one thing, I am not a drug addict, and I am not a drug abuser, and if I was nadhani we all know how drug addicts act, we all know how drug abusers wanakuwaga. I want you guys to relax, do not worry, everything is going to be fine.”

Mastaa wengine waliotajwa ni TID, Mr Blue, Chidi Benz, Recho na wengine.

SOURCE; Bongo5.com
Analo bonge la mtindi madam
 
Back
Top Bottom