Wema Sepetu: Idris umenifanya nijivunie kuwa mwanamke

Sasa watumie condom za nini wakati nia yao ni kupata watoto? Au unamaanisha watumie condom kama wakitaka kuchepuka?
 
acha chuki, na wala amtusi hayasaidii.
hebu tuambie wewe kei yako ama ufutio wako umegusa wangapi?
 
you've said it right mumie.....
afu unakuta mtu ni chuki zake tuu..........
wengine hapa yanawatoka ukute hata bwana wa kuwatongoza tu ni shida hawapati.
naamin huyo idrisa ama wema angetoa ofa ya kutoka na kwa yyte anaye watusi hapa pm zingejaa inbox zao
mie nawatakia kila la heri. Mungu awape watoto na awakuzie
 
Haya maneno ya I love you duh simjui kama yanaaminika tena
Love has lost its meaning now days ila ndo hivyo wengi khasa wanawake wanapenda kudanganywa ukimwambia sina kitu ila nakupenda hapo ndo utaambiwa ufundi peleka veta.
 
mgumba sasa amezaa, tena kwa Fujo mapacha watatu na mmoja dume copyright Kama baba yake
 
Ila kama atabahatika kwenda leba awe makini maana lile papuch lake lilvyokubwa mtoto anaweza akadondoka bila kujijua
 
Ila kama atabahatika kwenda leba awe makini maana lile papuch lake lilvyokubwa mtoto anaweza akadondoka bila kujijua
Hahahaha nimejenga taswira ma-nurse wanahangaika kupanga panga viwembe vya kumchana mara ng'aa ng'aa ng'aaa chini ya miguu ndani ya dera mtoto analia, hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…