Wema Sepetu: Idris umenifanya nijivunie kuwa mwanamke

Wema Sepetu: Idris umenifanya nijivunie kuwa mwanamke

Huwa wakati mwengine natafakari pale naposikia mwanaume kailoweka nyama mbichi hadi kamtia mimba m-bongo movie,sijui wanapimaga kwanza afya zao!amma anazimimina na kikombe mle maana mtu ana scandal chungu nzima but...nisiseme sana nisije kuhukumu bure.
Wee huna skendo?? Acha kunyooshea kidole wenzio wakati ww bado waendeleza libeneke
 
Kuna watu wambeya humu alafu bado wanajiuliza kama inatuhusu!!
 
We are not busy, actually we are good at gossips. I guess we do what we do best
Sad
Ebu tupunguze unafiki kidogo.
This is celebrity Gossip
We care, we love it.
Hata anayepita na kusonya akacomment amependa kimoyomoyo.Pata wewr mimba uone kama hata jirani yako atajali wala kukufatilia.You aint on spotlight, you are simply No body katika hii makitu.
 
Siyo kwa mahaba yale,nlitama kipindi kisiishe,guyz hakuna mwenye mahaba yale jmn,n pm khaa:..!
 
Kama kweli wema ana mimba,domo akapime uzazi inawezekana sperm count ni chache au hazina nguvu haiwezekani mda wote huo mimba itafutwe labda ni mipango ya Mungu....ila tiffa mdomo wa katunzi pure,mtoto hafungi mdomo kama katunzi....ngoja muvie iendelee

Wema ametiwa na diamond peke yake?
 
to tell the truth, nimefurah sana kuskia kwamba Wema ni mjamzito. hii ni kawaida yangu na maombi yangu kwa Mungu kwamba kila mwanamke abebe mimba, na kisha azae mtoto na Mungu amkuzie jamani.
naona hapa wengi wanahukumu lakin jaman gtujiulize hivi kweli kwa miaka 35 aliyonayo Wema pasi mtoto na amekuwa kwenye mahusiano ivi anaumia kiasi gani? hayo ya kuwa na mahusiano lukuki pengine alikuwa anatafuta wa kumpa ujauzito na sasa ndio kampata.
Hebu tuache kuhukumu, tumuombee kwa Mungu azae salama na tupakate mtoto

Huyo Hana Mimba

Mimi huwa nawaambia kila siku huyu Malaya ametoa mimba saba....

And ako infertile sasa

Hayo ni maigizo na Kick....
 
Mhh ila mapenzi ya kuandikia matamu jamani niliandikiwaga zana full page nikajiona nimeshinda moyoni kila nikingia mtandaoni ile ile i love love iaseee nilikuwa napenda siku alivyonibwaga ile full page sikuiamini nilijipa maswali na majibu sikupa mpakaleo moja ya swali hivi ndo huyu aliandika hapa au mwingine mapenzi bana
 
Hapana Chezeiya
 
Mtajimurder.
Mimba ndio ilishaingia tunangoja Toto la Taifa Original.
 
Huyo Hana Mimba

Mimi huwa nawaambia kila siku huyu Malaya ametoa mimba saba....

And ako infertile sasa

Hayo ni maigizo na Kick....
Mweee
Utakoga ndimu jirani.
Dokta Mwaka keshafanya yake.
 
Back
Top Bottom