Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
hii ni zaidi ya isidingoTupo episode no 1,ziko 15 hvo keep watching
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii ni zaidi ya isidingoTupo episode no 1,ziko 15 hvo keep watching
Wee huna skendo?? Acha kunyooshea kidole wenzio wakati ww bado waendeleza libenekeHuwa wakati mwengine natafakari pale naposikia mwanaume kailoweka nyama mbichi hadi kamtia mimba m-bongo movie,sijui wanapimaga kwanza afya zao!amma anazimimina na kikombe mle maana mtu ana scandal chungu nzima but...nisiseme sana nisije kuhukumu bure.
Ebu tupunguze unafiki kidogo.We are not busy, actually we are good at gossips. I guess we do what we do best
Sad
Hiyo series inaitwa 'NEVER ENDING FAKE STORIES'Hii series sijui itaisha lini...???
Asante kwa kutumbua jipu,mijitu mingine sijui ikoje?Kuna watu wambeya humu alafu bado wanajiuliza kama inatuhusu!!
Kama kweli wema ana mimba,domo akapime uzazi inawezekana sperm count ni chache au hazina nguvu haiwezekani mda wote huo mimba itafutwe labda ni mipango ya Mungu....ila tiffa mdomo wa katunzi pure,mtoto hafungi mdomo kama katunzi....ngoja muvie iendelee
to tell the truth, nimefurah sana kuskia kwamba Wema ni mjamzito. hii ni kawaida yangu na maombi yangu kwa Mungu kwamba kila mwanamke abebe mimba, na kisha azae mtoto na Mungu amkuzie jamani.
naona hapa wengi wanahukumu lakin jaman gtujiulize hivi kweli kwa miaka 35 aliyonayo Wema pasi mtoto na amekuwa kwenye mahusiano ivi anaumia kiasi gani? hayo ya kuwa na mahusiano lukuki pengine alikuwa anatafuta wa kumpa ujauzito na sasa ndio kampata.
Hebu tuache kuhukumu, tumuombee kwa Mungu azae salama na tupakate mtoto
The whole body please!!nakaa kunduchi vipii usiogope
View attachment 319785
Bila ganzi teyna.Asante kwa kutumbua jipu,mijitu mingine sijui ikoje?
Hapana ChezeiyaMhh ila mapenzi ya kuandikia matamu jamani niliandikiwaga zana full page nikajiona nimeshinda moyoni kila nikingia mtandaoni ile ile i love love iaseee nilikuwa napenda siku alivyonibwaga ile full page sikuiamini nilijipa maswali na majibu sikupa mpakaleo moja ya swali hivi ndo huyu aliandika hapa au mwingine mapenzi bana
MweeeHuyo Hana Mimba
Mimi huwa nawaambia kila siku huyu Malaya ametoa mimba saba....
And ako infertile sasa
Hayo ni maigizo na Kick....
Meona eeeeh?Sio toto lile la Katunzi na Mganda.Mtajimurder.
Mimba ndio ilishaingia tunangoja Toto la Taifa Original.