Wema Sepetu: Idris umenifanya nijivunie kuwa mwanamke

Sasa hivi kampata sura ndefu wa kupiga nae picha basi kelele kila siku kwenye mitandao, wanawake wenye mapenzi ya kweli wako kimya wala hawapigi kelele.
 
Mr. blue, the great late Kanumba, dimondi, kuna mtu kachomoa keyboard hapa!
 
Mr. blue, the great late Kanumba, dimondi, kuna mtu kachomoa keyboard hapa!


clemee
chaz baba
na wale wagizani wengine tukiataja tunaweza ungwa na kina babu nani hii jail hahahahahaha papuche oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Wenzie wote walikuwa wakitumia kinga lakini bwana mdogo akapiga voda kwa voda hatimae bibie akaonja radha ya nyama after a long while na mimba juu..
 
Zile dola laki tatu mbona madam hajazungumzia au atazipiga kwenye child support!?!?
 
hahaha yaani mwanamke kila uchao ana kifanyio kipya hiyo papuche nadani sa hii imetanuka kuliko sisi tuliopitisha vichwa vya watoto wakati tunazaa
Vijana wanachanganywa na dawa za kichina za kurudisha bikra
 
ahahahahahahaha kwahiyo hawa mabwana wooooote majogoo yao hayapandi mtungi ?

safi kijana safi sana maana kizazi kilishaota sugu
Mwenzenu alikuwa ana changisha, ati kajaliwa kuwa na kabank kakuhifadhia mbegu au storage tank ndio kale kwenye vile vihips utadhani mimba ya mbuzi Idrisa ndio ame bahatika kukamilisha collection iliyo hitajika kakatengenezwa ka zygote basi subiri uone kiumbe kitakacho shushwa hapo, kitakua na sura ya kila aliye loweka kamba yake, kama una zikumbuka sura zao sasa zichanganye uone salad itakayo patikana hapo,mdomo wa baba flani,uso wa nyumbu wa aliye funga komeo, na viungo tofauti tofauti vya kina nani hii.
 
ahahahahahahaha kwahiyo hawa mabwana wooooote majogoo yao hayapandi mtungi ?

safi kijana safi sana maana kizazi kilishaota sugu
Si kila panaposhindikana kupatikana mtoto ishu ni jogoo kupanda mtungi... kuna mambo mengi
 
Siku hizi cancer ndo tunaiogopa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…