Wema Sepetu: Idris umenifanya nijivunie kuwa mwanamke

loh usitaje nyumbu tutakosana saa hii maana mimi ni certified nyumbe alaaaaaaaaaa
 
hongera yake na mimba ya miujiza baada ya Mondi kumwambia zaa wako mzuri naona wiki mimba ndii mpk gauni linabana dah kila la kheri mama kijacho
 
Teh teh..Mapenzi bwana..Ni kama miezi miwili imepita tangu wema kuachana na Luis zen leo anamwandikia gazeti la mapnz mwanaume mwingine...
Hata mimi nikiachana na huyu kesho kesho kutwa nikimpata mwingine anayenidatisha shurti nimmwagie sifa haaaahaa lazima kujiexpresss ati
 
Wema tuendeshe mama tuendeshe wenzio bila kukutukana stress zetu hazipungui baby girl, kesho andika kingine bana wenzio stress zetu ndio zinaponea hapo bana, maana sisi wenzio ni veeeeer innocent, married na hatukuwahi kubadilisha wanaume kama wewe, yani unatuudhi wewe mtoto.
 
2006 wema anaukwaa umiss wa bongo Idris sultan alikuwa darasa la 7 LY sasa ndio baba mtarajiwa,haya maisha sometime yamejaa drama.mwisho wa siku mtakuja kujua wema hana lolote kama kawaida yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…