Wakati zarina anajifungua mtoto wa kwanza diamond alikuwa anatambaa. Leo ni baba mtoto wake. Rahaaaaa2006 wema anaukwaa umiss wa bongo Idris sultan alikuwa darasa la 7 LY sasa ndio baba mtarajiwa,haya maisha sometime yamejaa drama.mwisho wa siku mtakuja kujua wema hana lolote kama kawaida yake
Kuna wengine wanajaza macoporlo zaidi ya tatu ila kunanga wenzao sasa.....Wema tuendeshe mama tuendeshe wenzio bila kukutukana stress zetu hazipungui baby girl, kesho andika kingine bana wenzio stress zetu ndio zinaponea hapo bana, maana sisi wenzio ni veeeeer innocent, married na hatukuwahi kubadilisha wanaume kama wewe, yani unatuudhi wewe mtoto.
Haaaahaaaa si ndio kina msofe haoKuna wengine wanajaza macoporlo zaidi ya tatu ila kunanga wenzao sasa.....
Idris ni handsome toka kitambo na maisha yake hayakuwa ya kubabaisha kabla ya BBA, acha wivu mtoto wa kikeHuyu Idrisa si ndiye yule alipendwa baada ya kunyakua yale mamilioni?kwani siku zote alikuwa hamjui?kupata mamilioni ghafla akageuka kuwa handsome,hivi aliyafanyia nini yale mamilioni au ndiohivyo tena?
papuchi yuke ni tam sanaclemee
chaz baba
na wale wagizani wengine tukiataja tunaweza ungwa na kina babu nani hii jail hahahahahaha papuche oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
to tell the truth, nimefurah sana kuskia kwamba Wema ni mjamzito. hii ni kawaida yangu na maombi yangu kwa Mungu kwamba kila mwanamke abebe mimba, na kisha azae mtoto na Mungu amkuzie jamani.
Zikiwa zimepita siku kadhaa toka Idris Sultan kuweka wazi kumpa ujauzito bidada Wema Sepetu kupitia katika account yake ya Instagram Wema Sepetu amefunguka na kusema kuwa Idris amempa heshima na kumfanya ajivunie kuwa mwanamke.
Wema Sepetu leo kupitia ukurasa wake wa Instgram amefunguka mambo mengi na kuonyesha kufurahishwa na wala hajutii kuanzisha mahusiano na Idris Sultan, katika ujumbe wa Wema anasema wazi anampenda Idris si kwa sababu tu na yeye anampenda hapana bali ni kutokana na ukweli kwamba Idris ametengeneza historia nyingine katika maisha yake na kumfanya kuwa mtu bora na kubadili kabisa maisha yake.
Wema Sepetu alizidi kushusha shukrani kwa kijana huyo na kusema ikiwa leo ni siku yake ya kuzaliwa Idris Sultan anataka kumueleza kuwa yeye Wema Sepetu anajiona ni mtu mwenye bahati kumpata yeye kama mtu wake au mpenzi wake na kusema atamtunza na kumheshima kwa muda mrefu sana.
Zifuatazo ni baadhi ya nukuu kutoka kwa Wema Sepetu katika ujumbe wake huo ambao umekuwa ujumbe maalumu kwa mpenzi wake huyo katika siku yake ya kuzaliwa.
" Nimeandika na kufuta karibia mara mia maana kila ninachotaka kuandika najikuta naona hakifai and maybe hakitoshi.... Im busy looking for the Proper words to tell you how I truly feel but naona kama sio.... I thought deep and I jus simply decided to write this Idris I love you, not only because you are my man or because you love me too No...!!! I love you because you make me a Better person, You changed my whole life.... You Complete me" Alisema Wema
"You are the only person That has really made me feel like a woman.... Oh...! I just love you with all my heart... Now before The Clock strikes 12, Let me be The 1st to wish you a Happy Birthday My Love " Alimaliza Wema Sepetu
yaani kitendo cha ao kujaliwa kupata ujauzito na sasa wanategemea kichanga jaman tumshukuru Mungu.Idris ni handsome toka kitambo na maisha yake hayakuwa ya kubabaisha kabla ya BBA, acha wivu mtoto wa kike
lakin jaman tujiulize hivi kweli kwa miaka 35 aliyonayo Wema pasi mtoto na amekuwa kwenye mahusiano ivi anaumia kiasi gani?
baada ya kupiga tako tatu inakuwa bwawa kabisa bora ubaki na k yako ya asili
Daah bora ndugu yangu umeliona hilo. Mie kwa kweli nimegusika tu na hayo maneno, khaa yani huku raha tu utadhani nimeandikiwa mimi sasa. Hayo mengine nawaachia wenyewe wapendanaoBora hata amekumbuka kumsifia, ni wanawake wachache wanaokumbuka kuwa ambia wenzi wao kuwa ni wa maana kwao, wengi huishia kujishaua, na kujiona wao ndio bora. Hongera Idrisa umekusa kipele kilichokuwa hakijaguswa.
nakaa kunduchi vipii usiogopeKila nikisoma meseji zako sikupatii picha huko unakokaa ni dada wa namna gani? Lakini kuna baadhi ya post zako zimeniacha sina mbavu