Wema Sepetu: Idris umenifanya nijivunie kuwa mwanamke

Meona eeeeh?Sio toto lile la Katunzi na Mganda.
Uwiiiiii can't wait jamani,katoto katakuwaje kazuri?
Mtanzania originale
Katakuwaje katamuuu
Deals na matangazo nje njee.
Kwa kweli Idriss kampa Wema heshima
 
Mtoto wa Miss Tanzania 2006, Na mshindi wa big brother(nimesahau mwaka), atakua Icon wa Taifa na nyara ya serikali.
 

Are you wistful?
 
Hizi mimba za kuombewa kwa mchungaji esther zinatuletea vurugu mjini.
Kupata mimba sio kupata mtoto,wema ananunua mbeleko kabla mtoto hajazaliwa
 
Naskia sasa ma fans wa wema wanamembatiza jina Idris Sultan na kumwita Dk. Mwaka hii ni Baada ya kumpa ujauzito wema sepetu, wakim- refer yule dk anayefundisha mambo ya Gynecology kwenye TV.

Wasisahau kua diamond ndiye anayetoka kwenye advert zA huyu dk.
Sasa dk alikua wapi wakati dai Ana ha-ha na wema kutafuta mtoto enzi zA mapenzi yao!!.

Kama ni hivyo basi hata zari naye aitwe Mrs Mwaka just incase...
 
Humu watu wanajidai wasaaafiii mxiiiuuuuu!!
Hongereni kwa sababu hatuyajui yenu!

Wengine kujitia eti K za asili......si ajabu ukiwachungulia mara moja wala hutotamani tena kurudia ila wako hapa wananyali K ya Wema hovyoo!

Haikatazwi kukosoa ila wengine mnazidi sasa khaaa as if Wema sio binadamu???!!! Mmmh jamani!!! Bakisheni na ya akiba basi!
 
Kuna wengine wanajaza macoporlo zaidi ya tatu ila kunanga wenzao sasa.....

Umeona eeeh??!! Kisa tu hawampendi au wanamdharau basi uchafu wote ndo unakuwa wa kwake!
Washukuru tu humu sio insta ambapo unamsema mwenzio na we kesho ya kwako yanaanikwa lol! Mbona watu wangejikataa!! Heheh

Tena kama wanawake unakuta ananyali hapa kumbe nje mume wake anatoka na Wema or Bongo muvi yeyote.......patamu hapo.....unazungumzia oooh ngoja wapate ugonjwa oooh hawajapima kumbe ndani mwako umeramba koni kwa kuchangia na huyo unayemcheka na kumuona looser!
This is dunia bhana, and the circle is real!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…