Wema Sepetu is among ESCROW beneficiary

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Kutokana na umaarufu alionao Wema, amekuwa akidate na vigogo wenye pesa nyingi, na inasemekana mtu aliemnunulia BMW Wema, naye anahusika katika kuchota pesa za ESCROW.

Mwanadada huyu amekuwa akinufaika na hongo kutoka kwa vibopa vinavofanya ufisadi ktk inchii hii.

Asiye fanya kazi na asile, usemi huu kwa wema ni invalid
 
Umejuaje acha uzushi una uhakika wivu unakusumbua tu na wewe nenda kahongwe tuone kama utapewa hill gari mwache ahongwe tu kaa wewe unahongwaga chips yai pole zako eeeeh
 
Who is Wema ...!!?
Au ndio Kiki inatafutwa..!!?
 
Hahaaaa , mkuu acha wivu majina yana maana zake bwana wacha binti akirimiwe na shukrani zimuendee mama yake kwa kuchagua jina jema kwa mwanae. Kina sikujua, sikuzani, tabu shida majungu yanawahusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…