ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Kutokana na umaarufu alionao Wema, amekuwa akidate na vigogo wenye pesa nyingi, na inasemekana mtu aliemnunulia BMW Wema, naye anahusika katika kuchota pesa za ESCROW.
Mwanadada huyu amekuwa akinufaika na hongo kutoka kwa vibopa vinavofanya ufisadi ktk inchii hii.
Asiye fanya kazi na asile, usemi huu kwa wema ni invalid
Mwanadada huyu amekuwa akinufaika na hongo kutoka kwa vibopa vinavofanya ufisadi ktk inchii hii.
Asiye fanya kazi na asile, usemi huu kwa wema ni invalid