Tetesi: Wema Sepetu kufunga ndoa 2025 na kigogo wa serikalini

Ee bhana eeh huu mwaka umeanza na mbio sana. Huu mwaka utaisha haraka maana si kwa raha hizi!! Ukiangalia mbele raha nyuma raha pembeni raha!! Ni raha juu ya raha!!

Baada ya jux kufunga ndoa, na Hamisa nae anafunga ndoa tarehe 26 mwezi huu wa pili.

Tetesi ambayo ni hoti ni kwamba, Wema Sepetu nae anafunga ndoa mwezi wa nne baada ya ramazani kuisha. Yeye amekataa ndoa za futari ameamua asubiri ramazani iishe ndio afanye yake!! Anafunga ndoa na kigogo mmoja mzito wa serikalini.

Unaambiwa ndoa hiyo itakuwa siri siri. Waja mtaoneshwa mapicha tu. Humo harusini marufuku kuingia na simu au camera!

Hongera ziwafikie wote watakaoingia kwenye ndoa mwaka huu! Mungu atie neema kwenye ndoa zenu.
Mwakawa Uchaguzi huwa una hadi ndoa za kuganga. Yaani masharti ya mganga yanakuelekeza ili upite inabidi ukao fulani.
 
Na ikawe ndoa ya kheri, ila mpaka kesho namlaani Dr, nurses na wote walioshiriki kumfanyia Wema sajareee
 
Wema kwa sasa ana miaka mingapi? Ina maana huyo kigogo mpaka muda huu hakuwahi kuoa au anaongeza mke?
 
Kwa mujibu wa mashabiki wa Bongo fleva, Kigogo ni TID
 
Ee bhana eeh huu mwaka umeanza na mbio sana. Huu mwaka utaisha haraka maana si kwa raha hizi!! Ukiangalia mbele raha nyuma raha pembeni raha!! Ni raha juu ya raha!!

Baada ya jux kufunga ndoa, na Hamisa nae anafunga ndoa tarehe 26 mwezi huu wa pili.

Tetesi ambayo ni hoti ni kwamba, Wema Sepetu nae anafunga ndoa mwezi wa nne baada ya ramazani kuisha. Yeye amekataa ndoa za futari ameamua asubiri ramazani iishe ndio afanye yake!! Anafunga ndoa na kigogo mmoja mzito wa serikalini.

Unaambiwa ndoa hiyo itakuwa siri siri. Waja mtaoneshwa mapicha tu. Humo harusini marufuku kuingia na simu au camera!

Hongera ziwafikie wote watakaoingia kwenye ndoa mwaka huu! Mungu atie neema kwenye ndoa zenu.
Mwanetu kigogo wa Gavooo anaambulia gazeti la jioni sana!
 
Kuna mtu mwenye akili ambaye bado ana guts za kuoa huu mfupa uliowashinda fisi!!!!1
tumshauri mwana aende Singida akienda zile zira za kikazi walau apate siku saba za uchauzi, kina wema wapo wengi tu Singadani!!
 
Ee bhana eeh huu mwaka umeanza na mbio sana. Huu mwaka utaisha haraka maana si kwa raha hizi!! Ukiangalia mbele raha nyuma raha pembeni raha!! Ni raha juu ya raha!!

Baada ya jux kufunga ndoa, na Hamisa nae anafunga ndoa tarehe 26 mwezi huu wa pili.

Tetesi ambayo ni hoti ni kwamba, Wema Sepetu nae anafunga ndoa mwezi wa nne baada ya ramazani kuisha. Yeye amekataa ndoa za futari ameamua asubiri ramazani iishe ndio afanye yake!! Anafunga ndoa na kigogo mmoja mzito wa serikalini.

Unaambiwa ndoa hiyo itakuwa siri siri. Waja mtaoneshwa mapicha tu. Humo harusini marufuku kuingia na simu au camera!

Hongera ziwafikie wote watakaoingia kwenye ndoa mwaka huu! Mungu atie neema kwenye ndoa zenu.
Ila sehemu zake za Siri zimetumika sana🤣🤣
 
Back
Top Bottom