Wema Sepetu kugombea Ubunge viti maalum Singida

ha ha ha ha ha
 
Wewe kweli unaweweseka sasa wewe kwa akili yako ubunge wa viti maalum Ccm sifa kuu ni ipi?

Saga chupa ubwie sasa ndio utajuwa wenzako wanatowa K kwa malengo.

weee kasage chupa uchanganye na viwembe unywe mwenyewe!!halafu koma kuniambia mi wema sepetu mwenzangu sawa we mzee?
 
Mbona hawa watahama jukwaa. Maana kila kona watakutana na mimi

Mimi ni mtu wa siasa naijuwa Ccm vyema nakuhakikishia tembea kifuwa mbele Wema tayari anasubili kuapishwa tena mkoa wenyewe Singida? Kule yupo Mwigulu Nchemba, wengi wanaropoka tu humu hawajui hatamchujo wa ubunge viti maalum vya vijana unafanyika vipi.

Ingekuwa anagombea jimbo ningekwambia hapahapa hata azikiri uchi hawezi kupata ila ubunge wa viti maalum wazee wa Lambojini yale malimao yao wayatunze huu Mwaka Mungu atawaonesha hakuna binadamu mtowa riziki.
 
Hahahaaa kazi wanayo mwaka huu.
Angalia uzi wa zingifuri nimekuita amefunguka kuhusu domo. Hahahaa nimechekaje na vile kila siku alikuwa anatukandia sisi anapata saport leo kamchana domo watu wanapita kimya kimya
 
Last edited by a moderator:
weee kasage chupa uchanganye na viwembe unywe mwenyewe!!halafu koma kuniambia mi wema sepetu mwenzangu sawa we mzee?

Umenuna? Jiandae kumuandika humu kwa title ya Mheshimiwa Wema Sepetu na siyo Madam tena.

Labda tu nianze kukuuma sikio uchukie vizuri, mshahara wa mbunge ni shilling million 14 kwa mwezi na kiinuwa mgongo kwa hawa wanaomaliza muda wao ni million 300 wachilia mbali sitting allowance na safari za nje ya nchi na posho za vikao.

Pia usisahau kuna ule mkopo hewa wasiolipa wa million 200 za gari la ubunge nadhani hapa madam ukimuona na Lambojini usishangae.
 
Hahahaaa kazi wanayo mwaka huu.
Angalia uzi wa zingifuri nimekuita amefunguka kuhusu domo. Hahahaa nimechekaje na vile kila siku alikuwa anatukandia sisi anapata saport leo kamchana domo watu wanapita kimya kimya

niite na mie nkaone bas
 
Last edited by a moderator:
yaani dahhh...akipita ntacheka sana...but anything is possible kwa hii nchi!

Mimi nakwambia ameshapita, Ccm viti maalum kuna nafasi za vijana kama ile aliyopataga Amina Chifupa.

Mwaka huu ndio mtaamini K zinalipa na nyota kaamuwa kuifanyia kazi mwenyewe.
 
kwani nani kakataaa,ccm kila kitu kinawezekana,,,yaan we kila kitu uko siasa uko ,sijui nini huko Japan umo yaan sikuwezi aiseee
 
Wewe kweli unaweweseka sasa wewe kwa akili yako ubunge wa viti maalum Ccm sifa kuu ni ipi?

Saga chupa ubwie sasa ndio utajuwa wenzako wanatowa K kwa malengo.

kwa mwendo huu wa kufuta post na picha za madame hapa jukwaani basi inawezekan kweli akapitishwa maana mmmnh!!Ngoja nipige mzigo kwa muhindi
 
Mimi nakwambia ameshapita, Ccm viti maalum kuna nafasi za vijana kama ile aliyopataga Amina Chifupa.

Mwaka huu ndio mtaamini K zinalipa na nyota kaamuwa kuifanyia kazi mwenyewe.

siasa Kuna mawili wewe,,kumbuka lazima apigiwe kura za ndani ya chama,,na watakua ni wengi wanaogombeaa,usidhan umaarufu ndio atapita pita Tu,ingekua hivyo angenyamaza halaf tukashtukia ni mbunge tu
 
kwani nani kakataaa,ccm kila kitu kinawezekana,,,yaan we kila kitu uko siasa uko ,sijui nini huko Japan umo yaan sikuwezi aiseee

Wazee wa Lambojini mbona mnapanic sana wiki hii? Wewe na Warumi wako sasa mjiandae kuhama nchi Mungu si Athumani na wala si Mwamed na ukumbuke mbunge anapewa diplomats passport na airport anapitia vip lounge. Hatai kweikwei!
 
weee!mi wema sio mwenzangu tena uwe na adabu!!
 
Wazee wa Lambojini mbona mnapanic sana wiki hii? Wewe na Warumi wako sasa mjiandae kuhama nchi Mungu si Athumani na wala si Mwamed na ukumbuke mbunge anapewa diplomats passport na airport anapitia vip lounge. Hatai kweikwei!

Yeye apite asipite atajua,mi nasubiri hiyo siku maana anatakiwa azungukie wilaya zote za singida,akishapigiwa kura singida akapita,mchuano tena unakua dodoma,akishinda heri yake,halaf hakuna aliepanik hapa
 
Aende ila ajue kuna vigagu wameshaanza fitina long time na tulio humu kwenye media sio wapiga kura, wapiga kura wengi wamama wa kutoka bush kati.
 
Wazee wa Lambojini mbona mnapanic sana wiki hii? Wewe na Warumi wako sasa mjiandae kuhama nchi Mungu si Athumani na wala si Mwamed na ukumbuke mbunge anapewa diplomats passport na airport anapitia vip lounge. Hatai kweikwei!

Yeye apite asipite atajua,mi nasubiri hiyo siku maana anatakiwa azungukie wilaya zote za singida,akishapigiwa kura singida akapita,mchuano tena unakua dodoma,akishinda heri yake,halaf hakuna aliepanik hapa

Wacha nikumegee siri tu kwa faida yako hili ujiandae kisaikolojia, ni hivi mimi nilikuwa karibu na marehemu Mpakanjia najuwa kilichofanyika mpaka Amina Chifupa anashinda dakika za mwisho Meddy ndio alikubali kutoa million 100 zake ili ajilipe kwenye gari la ubunge.

Mimi naijuwa Ccm kuliko unavyoweza kufikiri wewe ingawa siko karibu na Wema na wala hatujuani ila mimi najuwa kuusoma mchezo huyo mrembo hajakurupuka wala hauzi sura ni kwamba anakwenda bungeni kitakachomkwamisha tu ni kura za UKAWA zikizidi uwingi na Ccm wabunge chupi wake wanapigwa rula na tume ya uchaguzi.

Kwahiyo ili wewe na warumi msihame nchi inabidi muhasishe wananchi wawapigie Kura UKAWA kwa wingi ili kupunguza idadi ya wabunge chupi kutoka Ccm.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…