data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
Sipati picha, wema ndani ya GX na dereva pembeni. Nahisi kaka manager atakuwa PS. Sipati picha anachangia hoja
" Thank you mh speaker kwa this opportunity for me kuchangia, as you know....... Hapo sauti sasa"
Akiwa anashuka na kupanda pale kwenye zile corridle zenye red carpet, aise itakuwa ni shidaaaa.
ha ha ha ha ha