nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,624
wema kwa ccm kashapata tayari.ajiandae tu kwenda kuwatoa uchovu wakubwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania yetu inaelekea wapi?
Naona wanadhani huo ubunge ni kama tuzo za watu kwamba kura zitatoka InstagramNdio hapo sasa..hata cheo cha umesenja hana kwenye chama..from no whre tu awe mbunge...
Halafu watu wanamfananisha amina chifupa na huyu michirizi..Amina alikua ni mwanachama damu na active na tena alikua ni katibu wa vijana wa ccm..sasa asipate viti maalum na shughuli za chama zilimuhusu kisawa sawa..hata vick alikua ni active member kule kwao mwanza...huyu ni active instagram. ..wakisema mbunge wa viti maalum insta atashinda..alitakiwa ajipendekeze kwenye shughuli za ccm japo ht kwa 2 yrs...angetumia jina lake kiccm ...lakini hapa...kachemshaaaaaaa...ubunge sio lelemama
Naona wanadhani huo ubunge ni kama tuzo za watu kwamba kura zitatoka Instagram
Basi automatikale wema anakua shemeji ako ushemeji hua haufi hata wapendanao wakiachana ha ha ha si ndio Dinazarde?Ngoja nimuite Tyta mimi simjui Wema wala hanijui nimewahi kukaa naye meza moja mara moja tu wakati anatoka na Chalz Baba, Chalz Baba ni mwanangu mwenyewe wa ukweli. Simjui Wema wala hanijui. Period.
Kumbe ile ilikua ni sindano ya Mheshimiwa? Niliona...kwamba akabithiwe hadi funguo za toilet bila yeye watu hawapupu lolMeona eeh..ndio maana salama jabiri akawapiga tusi tweeter...uliiona...lol
Basi automatikale wema anakua shemeji ako ushemeji hua haufi hata wapendanao wakiachana ha ha ha si ndio Dinazarde?
Kumbe ile ilikua ni sindano ya Mheshimiwa? Niliona...kwamba akabithiwe hadi funguo za toilet bila yeye watu hawapupu lol
chaz baba si mtu ako sasa dem wake si shemeji ako.....Usichanganye madalanzi na malimao, mimi na Wema wapi na wapi?
Labda wazee wa Lambojini Wema bado shemeji yenu subirini siku yupo mjengoni katika wageni wa Wema waliopo speaker galery anatambulishwa Dangote platnumz.
Jokate nae angeachana na hizo mambo mbona yule kichwani zimo ana akili ya kufanya biashara kishapiga dili na wachina naona yupo level nyingine aache huo ujinga ujinga wa kina mheshimiwaNdioo...wao wanajifanya walitakalo lazma liwe...kama wao Mungu vile...na ex mke mwenzie..jokate
I love penny yuko mpoleee hana makeke...
hahahahah...wonders never end
chaz baba si mtu ako sasa dem wake si shemeji ako.....
Wewe bado unauguwa Wemaphobia mwenzako anapenda Fame ili apate pesa sasa kwenye ubunge umaarufu si ndio unazidi? Hata wale wasiokuwa na muda na ujingaujinga wa Insta si watakuwa wanamuona live runingani? Open ur eyes.
Jokate nae angeachana na hizo mambo mbona yule kichwani zimo ana akili ya kufanya biashara kishapiga dili na wachina naona yupo level nyingine aache huo ujinga ujinga wa kina mheshimiwa
Usichanganye madalanzi na malimao, mimi na Wema wapi na wapi?
Labda wazee wa Lambojini Wema bado shemeji yenu subirini siku yupo mjengoni katika wageni wa Wema waliopo speaker galery anatambulishwa Dangote platnumz.
Jokate zimo buana huwezi mlinganisha na mheshimiwaAna akili sasa nae huyooo
Kuwa mbunge maana yake ni kuwa mtu unayeweka maslahi ya taifa mbele iwe kifedha, kiuchumi, kiutawala, kimichezo, sanaa na n.k. Sasa mtu kama Wema anataka kuwa mbunge, wkati huo huo anahamasisha watu wampigie kura msanii wa taifa jingine ili amshinde mtanzania mwenzake eti kisa tu huyo mtanzania ni ex wake, huyu hafai kuwa mbunge. Hana uzalendo kwa nchi yake. Hata kama ana ugomvi na Diamond, hapaswi ugomvi wake ukaharibu maslahi ya taifa. Diamond akishinda si sifa kwake binafsi tu, bali ni sifa kwa Taifa nzima na pia inawapa changamoto wasanii wengine kufanya juhudi na kuweza kufikia kupata tuzo kama Diamond.