Wema Sepetu kugombea Ubunge viti maalum Singida

wema kwa ccm kashapata tayari.ajiandae tu kwenda kuwatoa uchovu wakubwa.
 
Naona wanadhani huo ubunge ni kama tuzo za watu kwamba kura zitatoka Instagram
 
Ngoja nimuite Tyta mimi simjui Wema wala hanijui nimewahi kukaa naye meza moja mara moja tu wakati anatoka na Chalz Baba, Chalz Baba ni mwanangu mwenyewe wa ukweli. Simjui Wema wala hanijui. Period.
Basi automatikale wema anakua shemeji ako ushemeji hua haufi hata wapendanao wakiachana ha ha ha si ndio Dinazarde?
 
Last edited by a moderator:
Meona eeh..ndio maana salama jabiri akawapiga tusi tweeter...uliiona...lol
Kumbe ile ilikua ni sindano ya Mheshimiwa? Niliona...kwamba akabithiwe hadi funguo za toilet bila yeye watu hawapupu lol
 
Basi automatikale wema anakua shemeji ako ushemeji hua haufi hata wapendanao wakiachana ha ha ha si ndio Dinazarde?

Usichanganye madalanzi na malimao, mimi na Wema wapi na wapi?

Labda wazee wa Lambojini Wema bado shemeji yenu subirini siku yupo mjengoni katika wageni wa Wema waliopo speaker galery anatambulishwa Dangote platnumz.
 
Last edited by a moderator:
Usichanganye madalanzi na malimao, mimi na Wema wapi na wapi?

Labda wazee wa Lambojini Wema bado shemeji yenu subirini siku yupo mjengoni katika wageni wa Wema waliopo speaker galery anatambulishwa Dangote platnumz.
chaz baba si mtu ako sasa dem wake si shemeji ako.....
 
Ndioo...wao wanajifanya walitakalo lazma liwe...kama wao Mungu vile...na ex mke mwenzie..jokate
I love penny yuko mpoleee hana makeke...
Jokate nae angeachana na hizo mambo mbona yule kichwani zimo ana akili ya kufanya biashara kishapiga dili na wachina naona yupo level nyingine aache huo ujinga ujinga wa kina mheshimiwa
 
Bungeni hatapata biashara kabisa... kitumbua chake kitadoda... bungeni kuna watoto wakali mara 100 ya Wema wanakuja kwa bei poa na wako low profile... Watoto wakali sana na wako cheap, Wema hana chake bungeni...kwanza wabunge hawapendi kuwa ktk front pages kila siku za udaku...!!!

Hata mbunge akitaka kumpiga kabaang, bado ataacha sbb anajua it will go viral ktk media, na kuharibu ndoa yake...!!!

Wema abakie auze tu huku huku mtaani...!!!
 
chaz baba si mtu ako sasa dem wake si shemeji ako.....

Chalz Baba ana mke wake huyo ndio shemeji, ingekuwa kila mchepuko ni shemeji basi kuna rafiki zangu wamewabanduwa mademu hata ukiwajaza kwenye treni ya mwakyembe hawatoshii sasa si itakuwa balaa!!
 
Wewe bado unauguwa Wemaphobia mwenzako anapenda Fame ili apate pesa sasa kwenye ubunge umaarufu si ndio unazidi? Hata wale wasiokuwa na muda na ujingaujinga wa Insta si watakuwa wanamuona live runingani? Open ur eyes.

aiseeee Evelyn Salt upitree hapaaaa
 
Last edited by a moderator:
Jokate nae angeachana na hizo mambo mbona yule kichwani zimo ana akili ya kufanya biashara kishapiga dili na wachina naona yupo level nyingine aache huo ujinga ujinga wa kina mheshimiwa

Ana akili sasa nae huyooo
 
Usichanganye madalanzi na malimao, mimi na Wema wapi na wapi?

Labda wazee wa Lambojini Wema bado shemeji yenu subirini siku yupo mjengoni katika wageni wa Wema waliopo speaker galery anatambulishwa Dangote platnumz.

Wema anamchukia Dangote anapiga kampeni asipae kimuziki baada ya kumuacha, halafu anasema kwenye interview haweki vinyongo mfyuuu mkubwa yule uongo ndio kazi yake.
 
Kuwa mbunge maana yake ni kuwa mtu unayeweka maslahi ya taifa mbele iwe kifedha, kiuchumi, kiutawala, kimichezo, sanaa na n.k. Sasa mtu kama Wema anataka kuwa mbunge, wkati huo huo anahamasisha watu wampigie kura msanii wa taifa jingine ili amshinde mtanzania mwenzake eti kisa tu huyo mtanzania ni ex wake, huyu hafai kuwa mbunge. Hana uzalendo kwa nchi yake. Hata kama ana ugomvi na Diamond, hapaswi ugomvi wake ukaharibu maslahi ya taifa. Diamond akishinda si sifa kwake binafsi tu, bali ni sifa kwa Taifa nzima na pia inawapa changamoto wasanii wengine kufanya juhudi na kuweza kufikia kupata tuzo kama Diamond.
 
Khe! Khe! Khe! Khe! Eti nini? Tuzo ya Diamond ni maslahi ya Taifa!? Can u say that again?

Ile mihela aliyochukuwa Idrisa kwenye yale mashindano ya kifirauni wewe umekatiwa ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…