Wema Sepetu kugombea Ubunge viti maalum Singida

Hivi karibuni tumesikia Nguli wa filamu za kitanzania, Former Miss Tanzania Wema Sepetu akitangaza nia ya kuchukua fomu kwaajili ya kuwawakilisha wananchi kupitia viti maalum Singida.

Sitaki niwe judgmental au kufuatilia mambo yake binafsi na kuyahusisha na siasa, lakini wengi tungependa kujua, je nia hiyo ni ya ndani ya moyo, kutaka kuwatumikia wananchi, au ni muendelezo wa beef na mpenzi wake wa zamani star wa bongofleva diamond, kumuonesha kwamba na yeye bado yupo na anaweza kufanya jambo kubwa.

Je ni sahihi kutumia mgongo wa wananchi na followers wako kwa ajili ya personal satisfaction inayotokana na beef la kimapenzi na star mwenzake??

Nadhani wananchi wa Singida wanahaki ya kupata uwakilishi unaotokana na nia ya dhati kabisa, kuliko kua victcims na kutumika kama mgongo wa kuwapa relief watu.

Kama nakosea Wema nisahihishe.
 
Lowasa nae itakuwa ni bifu tu na mwakyembe hana nia ya dhati
 
Jaman kwani si Tz ni nchi huru lakn? Na kila mtz anahaki ilimrad havunji sheria ya nchi?

Kwanini nia yake ieleweke hivo?
 
Ali to na nyegee kaenda kujikomentisha kwa davido
 

Attachments

  • wp_ss_20150621_0007.png
    122.3 KB · Views: 458
m.....a.......l...........a.................
 
Technologia ikipiga chenga hadi kudanganya location nomaaaa kumbe kibaha mmmhh



 
Wivu tu unawasumbua ana haki kama ilivyo kwa mtanzania yeyote wengine tutabaki kuwa haters tu kwa id feki
 
Haaaa Tanzania Tanzania nchi yangu

Wema ata ccm atawaongezea kiki sana mitaani wanamuitaji sana. Na bora apate huo ubunge atulie na stress za diamond maana huu ujinga anaofanya ni sababu ya stress na kujifeel amepoteza kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…