Wema Sepetu kugombea Ubunge viti maalum Singida

Wema Sepetu kugombea Ubunge viti maalum Singida

Habari zenu wanajamvi.Nimejiuliza sana sana kwamba siasa imevamiwa na watu ambao hata hawana element za kiuongozi hasa wa kisiasa ndani ya nchi yetu' nimecheka sana eti nasikia WeMa Sepetu yupo singida eti anatafuta wadhamini kuja kugombea ubunge hivi watu wanafikiri siasa ni lele mama???????angebaki tu kuendelea na Bongo movie yake wengine wanaweza wakasema mbona sugu yupo mbungeni??? na prof jay nae yupo mbioni???? kwann wema??? kwa wale wanaosikiliza music za prof jay na sugu zote no za harakati hata Roma akisema atagombea sitamshangaa kutokana na nyimbo zake za kiharakati lakin HUYu WeMa amenishangaza sana ni hayo tu
 
mbunge gani sio mzalendo
1434804097810.jpg1434804163512.jpg
yani davido anajua kutumia fursa kaona watz wanamshobokea kapost bendera ya Tanzania, na watz walivyo wapuuzi pamoja na huyo mbunge wao wema wanashangilia hatujui tunatumiwa na davido kwa maslahi ya nchi yake.
 
mbunge gani sio mzalendo
View attachment 262006View attachment 262007
yani davido anajua kutumia fursa kaona watz wanamshobokea kapost bendera ya Tanzania, na watz walivyo wapuuzi pamoja na huyo mbunge wao wema wanashangilia hatujui tunatumiwa na davido kwa maslahi ya nchi yake.

Huyo anamtamani bado Diamond hana njia sasa ya kuondoa uchungu wake rohoni, anatafuta kiki Davido afanye collabo nae pia ajulikane Nigeria.
 
hahaaa she want colaboo

Yule hakuna lingine za sisiem kazizoea ana subiria mpya zitakazoingia oktoba, kwa sasa anataka jaribu nje, halafu meneja wake kadinda anaandika eti watu wamuache ni uamuzi wake duh huyo meneja anamjali sana client wake maana anasema upu.pu wote alionao oyeee na mbwa masta anamsifia eti jeshi la mtu mmoja wanafurahia huku anajifanya kuposti picha ya diamond ya kupigiwa kura. Wanatia aibu nchi yetu wanahitaji vibao
 
Ha ha ha ha all the best Mheshimiwa wema sepetu, ila angewahi kipindi cha baba nanii angepewa tu make jamaa ana kauli mbiu nzuri " waacheni wanawake wazuri waje kwangu maana u-DC ni wao"

Haaa kwiii kwiii umetisha.
 
Yule hakuna lingine za sisiem kazizoea ana subiria mpya zitakazoingia oktoba, kwa sasa anataka jaribu nje, halafu meneja wake kadinda anaandika eti watu wamuache ni uamuzi wake duh huyo meneja anamjali sana client wake maana anasema upu.pu wote alionao oyeee na mbwa masta anamsifia eti jeshi la mtu mmoja wanafurahia huku anajifanya kuposti picha ya diamond ya kupigiwa kura. Wanatia aibu nchi yetu wanahitaji vibao

hebu tuachane na huyu bibi tukavote kura mia mia then tutarudi.. mzurimie tupe link

Ha ha ha ha lol
 
Last edited by a moderator:
Yule hakuna lingine za sisiem kazizoea ana subiria mpya zitakazoingia oktoba, kwa sasa anataka jaribu nje, halafu meneja wake kadinda anaandika eti watu wamuache ni uamuzi wake duh huyo meneja anamjali sana client wake maana anasema upu.pu wote alionao oyeee na mbwa masta anamsifia eti jeshi la mtu mmoja wanafurahia huku anajifanya kuposti picha ya diamond ya kupigiwa kura. Wanatia aibu nchi yetu wanahitaji vibao
Meneja hakuna siku haambiwi "f*ck u" na mheshimiwa mbunge lol
 
Jamani naomba uchaguzi huu tupinge kuwepo kwa hawa wabunge wa viti maalum.nawaombeni sana.hatuoni faida yao kabisa!hlf naona wengi waliojazwa pale wengi ni wanawake na wadada warembo tu manake nn?

Katiba hii ndo inaruhusu viti maalum!
Ya warioba/wananchi ndio tulivikataa ss cjui itkuaje!

BTW ni "Vitu" maalum sio "Viti" maalumu
 
U superstar mavi tu.
Ana elimu na maarifa gan yatakayo ni convince ni m support ??

Mtu O Level alipiga miswaki yote (nani asiyemjua huyu) ndio leo unaniambia aje kuongoza ??
 
Back
Top Bottom