Wema Sepetu kugombea Ubunge viti maalum Singida

ofkoz kwa insta makapuku wenzie watamchagua! Hafai kuongoza hata chekechea, akamuongoze nani huyu kahaba jamani??? Mbona tumelala watanzania??? Lulu naye agombee akakolimbe watu bungeni ndiyo iliyobakia kha!

Huyu hawezi fika kokote tunajua hilo wa2 watakula hela tu.....toka lini kilaza akajielewa mangula n kinana plus nape watatupa hilo jina lake
 
Sasa huyu miss michirizi zile team zake na mamburulaz wenzie kule ig atawaambia waache matusi ama??? Kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya bongo

Kama namuona vile lembebez atakavyokuwa anakatisha mjengoni dom
Kazi tunayo mana hiki chama kinapotupeleka sio
 
its not against the law dear!
Its a matter of choice and personal decision.
Unachoona ni upumbavu kwa mwenzio yeye haoni ivo.
Tujifunze kuheshimu maamuzi ya watu pale tunapoamua kutofautiana.
Peace!

Ukijifunza kuheshimu maamuzi ya watu siku utazaa matoto ya kiume yakitaka kuwa mashoga utasema ni maamzi yake na yaheshimu. Acha izo

Kila mtu anaetaka atuongoze watanzania wenye akili timamu lazima awe kioo na mfano bora ili watoto wetu wawe na role models wazuri

Kusema mtu kama Wema sepetu anaenda Bungeni akawe kiongozi mfano si kweli, hata kizazi kijacho kitaona kumbe hata ukiwa malaya, mhuni unaweza kuwa na badae uka hold best position za nchi.

Nyerere akizungumzia viongozi japo alikuwa akilenga rushwa alisema kiongozi wetu lazima awe msafi.

Mimi nauchukulia usafi hadi namna ya kuishi, sisemi viongozi wengine si wapenda ngono nk, lkn kumpleka bungeni mtu kama wema na skendo na maisha ya kuigiza anayoishi nikulikosea heshima taifa hili, japo ni haki yake ki democrasia maana si mfano wa kuigwa katika mabinti kwa Tanzania hii

Nakumbuka clip ya Birthday yake jinsi mama yake alivotoa matusi ya nguoni, yeye akishangilia, like mother like son atawafunza nini wanetu wanapotazama clip kama zile alafu wanasema ni mh mbunge?

Picha za nusu uchi anazopiga, kutojitambua, maisha ya maigizo anayoishi, umalaya wa hadharani, nk nk vina m disqualify kuwa mbunge au kiongozi.

Mwisho najua ni opportunist anatafuta pesa tu hana jipya. Maana ubunge ni tiketi ya mavuno, kama ubunge ungekuwa mshahara na malipo ni kama ya Ualimu basi huyu na wengi wanaotaka kwenda bungeni leo wasinge pigana vikumbo kwenda dodoma pale

Ila kwakuwa pale kuna mavuno yauda mfupi wema anaishi kwa kuangalia fursa nyepesi anataka aitumie na hii pia

Mwisho ajue atatumika kimwili zaidi ya anavotumika sasa maana huyu kugawa apate kwake ni kawaida, lakn nikumbushe yule mwana siasa wakike wa Arusha aliehama Chadema akaenda CCM akitegemea kutoka aliliwa na hakuingia bungeni mpk leo, aghalab tunamkumbuka tu kwa nyimbo ya Mr Mwanasiasa

Kila la kheri Wema, ila Hufai kuwa kiongozi
 
Hivi ubunge viti maalumu unagombaniwa au unateuliwa?

Mkuu viti maalum unagombania mkoa,ukishinda wa kwanza mkoa unasubiri kuapishwa,na km chama kimepata asilimia kuanzia 75 ya ushindi hadi wale nafasi ya pili wanaingia,isipokuwa viti maalum WALEMAVU tu ambao Tanzania bara wanatakiwa wawili na visiwani mmoja,hvyo kwa watu wenye ulemavu atakaeshinda mkoa wanakwenda kupigiwa kura taifa na UWT na wanatafutwa wawili tu bara kuingia mjengoni,na visiwani mmoja,bila Shaka mkuu umeelewa.
 
Sasa hilo kahaba linakwenda kumuongoza nani?? Wakati yeye mwenyewe kujiongoza kashindwa! Mmmffffyuuuuuu!

Amedhani zile team na shangwe anazopata insta na kwenye matamasha zinamtosha kumfanya afae kuwa mbunge
 
Are you sengerema maaana hujitambui mama kuku was mdondo

Tena kama una hamu ya kupigwa stata natoa iyo huduma kwa kutumia gunzi she.zi wew ila sio kwa mtu mchafu kama wew ata kuchamba hujui mk.undu umegandia ukoko kajifanyie usafi kwanza
 
Ukijifunza kuheshimu maamuzi ya watu siku utazaa matoto ya kiume yakitaka kuwa mashoga utasema ni maamzi yake na yaheshimu. Acha izo

Kila mtu anaetaka atuongoze watanzania wenye akili timamu lazima awe kioo na mfano bora ili watoto wetu wawe na role models wazuri

Kusema mtu kama Wema sepetu anaenda Bungeni akawe kiongozi mfano si kweli, hata kizazi kijacho kitaona kumbe hata ukiwa malaya, mhuni unaweza kuwa na badae uka hold best position za nchi.

Nyerere akizungumzia viongozi japo alikuwa akilenga rushwa alisema kiongozi wetu lazima awe msafi.

Mimi nauchukulia usafi hadi namna ya kuishi, sisemi viongozi wengine si wapenda ngono nk, lkn kumpleka bungeni mtu kama wema na skendo na maisha ya kuigiza anayoishi nikulikosea heshima taifa hili, japo ni haki yake ki democrasia maana si mfano wa kuigwa katika mabinti kwa Tanzania hii

Nakumbuka clip ya Birthday yake jinsi mama yake alivotoa matusi ya nguoni, yeye akishangilia, like mother like son atawafunza nini wanetu wanapotazama clip kama zile alafu wanasema ni mh mbunge?

Picha za nusu uchi anazopiga, kutojitambua, maisha ya maigizo anayoishi, umalaya wa hadharani, nk nk vina m disqualify kuwa mbunge au kiongozi.

Mwisho najua ni opportunist anatafuta pesa tu hana jipya. Maana ubunge ni tiketi ya mavuno, kama ubunge ungekuwa mshahara na malipo ni kama ya Ualimu basi huyu na wengi wanaotaka kwenda bungeni leo wasinge pigana vikumbo kwenda dodoma pale

Ila kwakuwa pale kuna mavuno yauda mfupi wema anaishi kwa kuangalia fursa nyepesi anataka aitumie na hii pia

Mwisho ajue atatumika kimwili zaidi ya anavotumika sasa maana huyu kugawa apate kwake ni kawaida, lakn nikumbushe yule mwana siasa wakike wa Arusha aliehama Chadema akaenda CCM akitegemea kutoka aliliwa na hakuingia bungeni mpk leo, aghalab tunamkumbuka tu kwa nyimbo ya Mr Mwanasiasa

Kila la kheri Wema, ila Hufai kuwa kiongozi

Brazakak naona umedandia train kwa mbele! Angalia utaburuzwaaa bureee!
Mimi nilikua nimeongelea katika context ya nani wa kumpigia kura katika tuzo za MTV.
Umenijia na waraka....ndefu sipendiiii.
 
Kaka yako amepewa ufalme wa tembo, wewe jiandae kupewa ufalme wa nyani. Jackass.

Kichaa sio lazima kubeba makop.
Vote vote votee.
Sambaza upendo.
Mtafurahi na shoo mwaka huu habari ya mujini ni kuvote for davido hutaki pasuka.
Best male.... davido.
Best collab.....david and uhur.
Best live....mr flavour
Sisi tuna deal na category tatu tuu.
Chezeiyaaaa
 
Utaelewa tu.
 
Back
Top Bottom