Wema Sepetu kugombea Ubunge viti maalum Singida

Wema Sepetu kugombea Ubunge viti maalum Singida

Bajeti inajadiliwa na nani kule, hakuna mtu bungeni mkuu! Watu wote wanapigania roho zao majimboni. Spika hayupo, Naibu Spika hayupo, Mawaziri hawapo! Wamebaki manaibu mawaziri wachache sana. Bajeti ya nchi inajadiliwa lakini wenye dhamana hawapo. Siamini hata kama waziri wa fedha yupo manake namuona Malima tu huku Mwigulu akitafuta wadhamini mikoani. Waziri Mkuu anasaka wadhamini, mawaziri lukuki wanaska wadhamini. Serikali kama haipo Bungeni ma wabunge kama hawapo Bungeni. Siku ya kupitisha bajeti itapidi wapige kura kwa simu/whatsapp kama zile kura za Bunge la Katiba.

Jana kwa idadi yao nadhani walikuwa 20 tu, teh teh.
 
Nina hakika bado mnayo yale malimao ya Lambojini ambayo jana imeshindikana kuwalambisha watu, basi muyahifadhi Wema Sepetu anakidhi vigezo vyote vya kuwa mbunge wa vitu maalum ccm tena anavyo vigezo vya ziada.

Jiandaeni kisaikolojoa kama mlikuwa hamuijui ccm sasa ndio mtaijuwa na ndio mtaelewa ni kwanini siku zote tunapambana kuing'oa ccm madarakani.

Hivi mnamuonea Wema tu hawa kina Vicky Kamata, Amina Chifupa Mboni Mhita and likes wana sifa zipi?

Nawahakikishia Wema atashinda kwa kishindo tena kwa ushindi wa mafuriko ndio mtaijuwa ccm muache kuikatikia viuno.

Kwenye hiyo list yako mtoe Amina Chifupa, inawezekana alikuwa na mapungufu ya kibinadamu lakini she was very smart kwenye ku present mambo ya msingi.
 
Swali la nyongeza Mh. Wema sepetu..


hahahahahaha i gademu wait for this mazafantaz
 
Wala usingoje mimi nakuhakikishia Wema anasubili tu kuapishwa, kumbuka hajakurupuka huyu hii nchi imeshikwa na watu wakiamuwa uwe Rais utakuwa sembuse ubunge?

Hifadhi hii post yangu utayakumbuka maneno yangu, tena bora hata Amina Chifupa alishinda kwa zile million 100 ambazo Mpakanjia alizitowa dakika za majeruhi.

Wema atauchukuwa Ubunge free free kabisaa mchana kweupe.

Ngoja nikusaidie kuhifadhi hii post kama nilivyokusaidia kuhifadhi ile uliyosema "hii ni kick ya nyimbo mpya ya diamond". Kipindi kileeee Wema na Diamond walivyoachana. Sometimes unajifanya shehe Yahya sana wewe!
 
Ndio hapo sasa..hata cheo cha umesenja hana kwenye chama..from no whre tu awe mbunge...
Halafu watu wanamfananisha amina chifupa na huyu michirizi..Amina alikua ni mwanachama damu na active na tena alikua ni katibu wa vijana wa ccm..sasa asipate viti maalum na shughuli za chama zilimuhusu kisawa sawa..hata vick alikua ni active member kule kwao mwanza...huyu ni active instagram. ..wakisema mbunge wa viti maalum insta atashinda..alitakiwa ajipendekeze kwenye shughuli za ccm japo ht kwa 2 yrs...angetumia jina lake kiccm ...lakini hapa...kachemshaaaaaaa...ubunge sio lelemama

Wamepanga kushindwa kwani Wameshindwa kupanga, kuwa na kadi ya chama na kujiita mwanachama hakukufanyi kushinda ubunge.
 
Ukitaka kujua dunia imefikia kikomo angalia yanayojiri Tz. Huyu naye m&$$;::-@""??;: naye awe mbunge??? Akaongoze wajinga wenzie kuiongoza nchi sio kama kucheza movie p$$&&;::u kabisa tuondoleeni walevi . Msitudharau WaTz kiasi hiki
 
Shida tunayoipata baada ya uongozi wa awamu ya nne, ni kuzifanya nafasi za uongozi kuwa rahisi muno kiasi kwamba kila mmoja anajiona anafaa. Mtu kashindwa kumdhibiti mme, atawezaje uwakilishi wa wananchi?
 
Vote vote votee.
Sambaza upendo.
Mtafurahi na shoo mwaka huu habari ya mujini ni kuvote for davido hutaki pasuka.
Best male.... davido.
Best collab.....david and uhur.
Best live....mr flavour
Sisi tuna deal na category tatu tuu.
Chezeiyaaaa
 
Wabogo wamelogwa na ccm ona huyu nae anamchangua mtu kisa anamapenzi nae ila sio kua ataisaidia nchi.
 

Attachments

  • 1434613311866.jpg
    1434613311866.jpg
    67.7 KB · Views: 182
Sasa hilo kahaba linakwenda kumuongoza nani?? Wakati yeye mwenyewe kujiongoza kashindwa! Mmmffffyuuuuuu!
 
vote vote votee.
Sambaza upendo.
Mtafurahi na shoo mwaka huu habari ya mujini ni kuvote for davido hutaki pasuka.
Best male.... Davido.
Best collab.....david and uhur.
Best live....mr flavour
sisi tuna deal na category tatu tuu.
Chezeiyaaaa
upumbavu at its best! Kha!
 
ahahahahaa!!tena faiza akitaka ubunge na mimi nitampa wallah tena!kwanza hana michirizi,anahamasisha watu wavae pampers kwenye birthday,anatetea haki za wanawake
kwi kwi kwi! Ule ni mtambo mwingine! Yule dada sio mzima! Wema angetakiwa kuwa mbunge wa makahaba, period, hao labda angeweza kuwaongoza!
 
ipo siku tutaingiza wacheza viduku wote bungeni...
Eti huyu akae na tundu lissu wajadili mikataba ya kimataifa...
Siasa zimekuwa nyepesi sana tanzania...
nakwambia these things only in tanzania! Mmmmxxxxiiiieeewwwww! Kuna vitu vinauma mnoooooo!
 
nasubiri akipita ndio nitaongea
kimboka yote itamchagua awe mbunge wao, kama ni hivyo hata mimi nampa kura yangu na si vinginevyo! Puuuuuuuuuuuuuuuuu! Nchi hii????? Aliyeturoga atusamehe wallahi!
 
yeye na maza wke akili zao zinaendana ccm mwaka huu haichukui vilaza........labda aende viti maalum insta
ofkoz kwa insta makapuku wenzie watamchagua! Hafai kuongoza hata chekechea, akamuongoze nani huyu kahaba jamani??? Mbona tumelala watanzania??? Lulu naye agombee akakolimbe watu bungeni ndiyo iliyobakia kha!
 
nakwambia these things only in tanzania! Mmmmxxxxiiiieeewwwww! Kuna vitu vinauma mnoooooo!

Mhhh.... Ivi unajua anaweza ingia Mjengoni.! Media hasa clouds wama m back up.

Lets wait.
 
mhhh.... Ivi unajua anaweza ingia mjengoni.! Media hasa clouds wama m back up.

Lets wait.
akili za kimatope wallahi! Nicheke mimi nipite na zangu! Haya ngoja tusubiri!
 
Back
Top Bottom