huko kwenu vipi
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 1,520
- 1,462
Habari zenu wanajamvi.Nimejiuliza sana sana kwamba siasa imevamiwa na watu ambao hata hawana element za kiuongozi hasa wa kisiasa ndani ya nchi yetu' nimecheka sana eti nasikia WeMa Sepetu yupo singida eti anatafuta wadhamini kuja kugombea ubunge hivi watu wanafikiri siasa ni lele mama???????angebaki tu kuendelea na Bongo movie yake wengine wanaweza wakasema mbona sugu yupo mbungeni??? na prof jay nae yupo mbioni???? kwann wema??? kwa wale wanaosikiliza music za prof jay na sugu zote no za harakati hata Roma akisema atagombea sitamshangaa kutokana na nyimbo zake za kiharakati lakin HUYu WeMa amenishangaza sana ni hayo tu

