IIIIIIGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
Habari gani wadau wa jamii forum... Ni mala yangu ya kwanza kuandika kumuhusu wema sepetu and ukiona nimeandika ujuen kuna something very important nataka kumfundisha au kumsahihisha.
Two weeks ago nilisikia that Wema sepetu ametanganza nia ya kugombea ubunge jimbo la singida mjini.. Mi sjui alitanaza wapi but nimemuona kwenye kipindi cha 360 cha clouds FM akihojiwa hapo ndo nikajua kuwa it was true.
WEMA WEMA WEMA is better for you kugombea ubunge mwaka 2020 if is true that unataka kuwakomboa na kuwaongoza wananchi wa singida. KWA MWAKA HUU HAKIKA HAUTASHINDA NA NAKUHAKIKISHIA KUWA UTAPOTEZA PESA NYINGI NA MUDA PIA sio kwamba nakuvunja moyo but all is true na kwa sababu zifuatazo...
(1)Wema kumbuka kuwa ubunge wa viti maalumu si wakuteuliwa na Raisi kama wengi wanavodhani bali ni ubunge ambao unashindaniwa ndani ya chama na wanawake tofauti tofauti... and kibaya zaidi wanaopiga kura ya kukupitisha ni wanachama tena wenye kadi.... kwa pointi hii hutashinda sababu utakao wakuta huko ni kama ifuatavyo... makada mbalimbali wa chama hicho tena wanaoaminiwa na chama na viongozi, kuna watumishi mbalimbali wa serikari ambao ni wakongwe na wameitumikia serikali na chama kwa ujumla....................LAKINI wewe WEMA hujawahi kuwa hata katibu kata wala mwenyekiti wa kamati so sidhani kama itakuwa rahisi kwa chama kukuamini na ukizingatia wanaoshindania ni watu maarufu na watu mashughuli sana.
(2) WEMA uongozi kupitia chama cha ccm sio rahisi kama unavodhani,,,, viongozi huwa makini sana hata kwenye kumteua mtu kwenye ngazi ya chama kwa kuangalia vitu muhimu ili wasiharibu chama kwa kumuweka mtu ambae atakuw mzigo.. hivyo kwa historia yako wema sidhani hata ukisimama mbele ya NAPE atakuangalia mala mbili......
(3) Wema sidhani kama wale wanawake wa chama husika wataweza kukupitisha na kuwaacha watu ambao ni mashughuli na wenye uwezo mkubwa wa kuongoza na kukuchagua wewe ambae hata hawajui pesa zako huwa unazipataje na wala hawajui wema kawekea kwenye nini.....
(4) lakini pia wema hujawahi kujishughulisha na shughuli zozote za kisiasa wala hujawahi kuwa katika harakati zozote za kiukombozi....... thats why nimekwambia inabidi ugombee mwaka 2020 na kwa hakika utashinda na muda huu wa 5 years anza harakati za kutengeneza mizizi ndani ya chama kwanza kwa kujishughulisha na siasa na ngazi ya chini na kujua kazi za serikali zinaendaje
Hao kina Sugu unaowaona bungeni hawakukurupuka tu na kugombea ubunge.........usidhani usanii wao ndo umewapeleka bali wao walianza harakati za kisiasa mda mrefu na kuonyesha wazi kuwatetea wananchi kwa njia mbalimbali......nadhani hata ukisikiliza nyimbo za sugu nyingin utaelewa naongea nini..........hao kina Desmond wa nigeria walikuwa na harakati za chinichini za kisiasa mda mrefu... ila kwako sijawahi kuona hata kidogo
CCM NI CHAMA CHANGU NA CHAKO PIA JUA KUWA KWA MWAKA HUU SIO RAHISI SAWA UNAJULIKANA NAKINI ASIKUDANGANYE MTU... IF UNATAKA KUSHINDA MWAKA HUU LABDA GOMBEA UBUNGE WA JMBO NA SIO VITI MAALUMU HAPO NAWEZA KUONA UNAEWEZA KUSHINDA MAANA WATU WA KUKUFANYIA PROMO UNAO NA WATAOPIGA KURA NI WANANCHI WOTE.......
HAYO NI YANGU KUTOKANA NA UZOEFU WANGU KATIKA SIASA NA KUJUA MAMBO MENGI KUHUSU CHAMA CHANGU
WEWE JE UNAMAONI GANI.........[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Hakuna kazi ngumu kama kupata ubunge wa viti maalum. Nimefatilia sana thread ya wema kutaka kugombea ubunge and i can say that watu wengi hawajui hata zile process tu za kumpata mwakilishi wa kukiwakilisha chama katika ugombea wa viti maalum. Kuna mchujo wa hatari sana na watu huonja joto ya jiwe wakati wa uteuzi tu wa ndani ya chama. Simfahamu wema kiundani ila kwa nilivowah kuongea nae kwa dakika chache tu,nikagundua vitu vingi sana na especially her weaknesses, Wema naongea sababu najua na si kwa sababu nyngne yoyote ile. 25 october sio mbali mtakuja ya majibu
Wewe kweli kiazi unaijuwa kweli ccm au unaisikia tu? Yani kina Mwigulu Nchemba watake mahawara zao kupita watashindwaje? Kama unadhani Wema ni mjinga pole sana, Jaji Ramadhani ni lini aliwahi hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi? Je ni lini ametengeneza kundi ndani ya ccm? Pole endelea kulala hujaijuwa ccm hata kidogo.
usibishane na anonymous please, if you know well how ccm is than me its ok maybe.... But know that cjaja hapa kumtsha wema bali is true,
Wema i can say sio mjinga na siwez mwita hivo,but naweza kusema ana akiri ndogo ya kufkiri, labda hukuelewa nlichomaanisha kuwa wema ana weakness kibao ikiwemo ya kudandia mambo bila kujpanga thats why hajawah kupanga mpango wa maendeleo ukakamirika au kufanikiwa. Nahisi unamuongelea Wema wa kwenye mitandao na magazeti but mi namuongelea Wema Sepetu wa kawaida ambae hata angenijua mi nani hakika angekosa cha kujitetea. Dnt mind brother/sister ok
Wewe kweli kiazi unaijuwa kweli ccm au unaisikia tu? Yani kina Mwigulu Nchemba watake mahawara zao kupita watashindwaje? Kama unadhani Wema ni mjinga pole sana, Jaji Ramadhani ni lini aliwahi hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi? Je ni lini ametengeneza kundi ndani ya ccm? Pole endelea kulala hujaijuwa ccm hata kidogo.
Eti beberu ha haahahahaaaah... akimpeleka mamaake hospitali tu tunaoneshwa sembuse kupeleka msaada singida,,, wakamdanganye beberuuu
labda nikujibu we muhogo kama ifuatavyo,kabla ya kutaja jina Ramadhani ulitaja cheo cha huyo ramadhani and as i told yule amekuwa kwnye system ya serikali,anacho cha kuongea mbele ya baraza la chama na kuwacomvice hata wakiangalia ana historia cas huwez kuwa jaji bila kuwah kuwa hakim, na anafaida kwa chama kama mwanasheria, pili hajagombea viti maalum ambvyo ndo agenda yangu, tatu huwez mfananisha jaji yoyote na wema, if anahisi atafanikiwa kwa kuvua chupi kama akir yako inavokuongoza ameferi kwa 100%,last just go and fatilia historia za wabunge mmoja baada ya mwngne then utaona kama kuna hata mmoja anafanana na wema.
tuliposasa bora tumpe tukaangalie na yeye amasemajengabu
naona hujui how things have changed to worse in tz..
Unaweza shangaa huyo wema akawa even better kulinganisha na takataka zingine zitakazopewa ubunge
tulipo sasa imefikia hadi watu hawataki kujadili tena
utaona watu hawajadili kabisa why so and so hawafai
hali iliyopo ni disbelief kwamba watu wa ovyo zaidi ndo wanazidi kuongezeka kwenye siasa
Ngabu
naona hujui how things have changed to worse in Tz..
unaweza shangaa huyo Wema akawa even better kulinganisha na takataka zingine zitakazopewa ubunge
Tulipo sasa imefikia hadi watu hawataki kujadili tena