remosa
Senior Member
- Oct 3, 2014
- 161
- 141
Hakuna kazi ngumu kama kupata ubunge wa viti maalum. Nimefatilia sana thread ya wema kutaka kugombea ubunge and i can say that watu wengi hawajui hata zile process tu za kumpata mwakilishi wa kukiwakilisha chama katika ugombea wa viti maalum. Kuna mchujo wa hatari sana na watu huonja joto ya jiwe wakati wa uteuzi tu wa ndani ya chama. Simfahamu wema kiundani ila kwa nilivowah kuongea nae kwa dakika chache tu,nikagundua vitu vingi sana na especially her weaknesses, Wema naongea sababu najua na si kwa sababu nyngne yoyote ile. 25 october sio mbali mtakuja ya majibu