Wema Sepetu kugombea Ubunge viti maalum Singida

Viti maalum vya ubunge vinagombaniwa mwaka huu?
 
Hahaha me sababu yangu kwa domo si katiba... Kuhusu wema muacheni jamani atumie fursa. Tunamchangia kuchukua form hadi kampeni zile za ndani ya chama za viti maalumu. Si unajua wao hawana kampeni ile ya nchi nzima.

Teh teh sasa mbona juzi iling'ang'ana na CCM vile.. Kumbe ulikuwa na mengine bana hahaha
 
Ha ha ha ha all the best Mheshimiwa wema sepetu, ila angewahi kipindi cha baba nanii angepewa tu make jamaa ana kauli mbiu nzuri " waacheni wanawake wazuri waje kwangu maana u-DC ni wao"

Hahahahaha hakika nilishangaa kwann uncle Vasco dagama hakunchapa na ka udc kakisela maana naskia ilikua chakula yake pia
 
Ha ha ha ha all the best Mheshimiwa wema sepetu, ila angewahi kipindi cha baba nanii angepewa tu make jamaa ana kauli mbiu nzuri " waacheni wanawake wazuri waje kwangu maana u-DC ni wao"

Ha ha ha anachukua jambo la Mwigulu au dewji?
Evelyn Salt wamekuambia ni VITU maalum hapo hakuna jimbo ila mkoa. Na kwa SISIEM hilo linawezakana, viburudisho kipindi kirefu kama hiki cha Budget lazima viwepo.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha hakika nilishangaa kwann uncle Vasco dagama hakunchapa na ka udc kakisela maana naskia ilikua chakula yake pia

Aagh nakujiweka sawa kasubiria kaona kabwagwa maana ingekuwa skendo ktk siasa, siri nyingi zingetoka za kutia aibu kazi yake ya ccm.
 
Haki yake ya msingi.
Nadhani hivi viti maalum vingefutwa ili hawa watu wapimwe na jamii. Kwa matendo na background zao.
Nadhani pia kwa huyu mtihani mkubwa ulikuwa kwa dogo kaushindwa mpaka dogo anaenda kuleta nje huko anachanganya damu hatutajua uraia wa mtoto, nk.
 
Hakika Wema akiwa Mbunge ....nitashangaa sana....! Lakini kwa kule singida hawezi pata na sidhani kama ana harakati zozote kwa Chama cha mapindizu!
 
Kama kweli akipewa basi nitaamini nchi hii imeoza... We Mtu anshindwa kujiongoza mwenyewe huko bungeni atachangania nini...
Hope isiwe kweli iwe uzushi tu.
 
Hakika Wema akiwa Mbunge ....nitashangaa sana....! Lakini kwa kule singida hawezi pata na sidhani kama ana harakati zozote kwa Chama cha mapindizu!

Wameandika ubunge wa VITI maalum...hivi hiyo inapigiwa kura mwaka huu?
 
itakuwa kamfata DIAMOND wake tu.anadhani ndio njia ya kumpata tenaaaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜±πŸ˜±πŸ˜±
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…