Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha me sababu yangu kwa domo si katiba... Kuhusu wema muacheni jamani atumie fursa. Tunamchangia kuchukua form hadi kampeni zile za ndani ya chama za viti maalumu. Si unajua wao hawana kampeni ile ya nchi nzima.
Teh teh sasa mbona juzi iling'ang'ana na CCM vile.. Kumbe ulikuwa na mengine bana hahaha
Wema sio wa kumfananisha na marehemu amina wewe, yule mwanamke ni jembe anajielewa
Ha ha ha ha all the best Mheshimiwa wema sepetu, ila angewahi kipindi cha baba nanii angepewa tu make jamaa ana kauli mbiu nzuri " waacheni wanawake wazuri waje kwangu maana u-DC ni wao"
Ataenda kugawa mbunye tu bungeni huyo .........
Ha ha ha ha all the best Mheshimiwa wema sepetu, ila angewahi kipindi cha baba nanii angepewa tu make jamaa ana kauli mbiu nzuri " waacheni wanawake wazuri waje kwangu maana u-DC ni wao"
Evelyn Salt wamekuambia ni VITU maalum hapo hakuna jimbo ila mkoa. Na kwa SISIEM hilo linawezakana, viburudisho kipindi kirefu kama hiki cha Budget lazima viwepo.Ha ha ha anachukua jambo la Mwigulu au dewji?
Hahahahaha hakika nilishangaa kwann uncle Vasco dagama hakunchapa na ka udc kakisela maana naskia ilikua chakula yake pia
Teh teh wewe si ndie uliyekuwa unapomba Diamond na CCM yake?? Wewe si ndie ulikuwa unaponda Diamond kuimba kubwagizo cha katiba ya CCM?? Kunani tena best??