manopter2010
Member
- May 16, 2013
- 92
- 17
Hakika Wema akiwa Mbunge ....nitashangaa sana....! Lakini kwa kule singida hawezi pata na sidhani kama ana harakati zozote kwa Chama cha mapindizu!
Ha ha ha ha mwehNaona bungeni pamekua Lodge sasa....
Mhh.., uhuru wa kikatiba! We chama chao utawajua tu! Mwaka huu tutashuhudia mengi sana.
Ana haki,kama na wewe unajiona unafaa kachukue tu,na sio kujiuliza kuhusu wengine wanaochukua form