Wema Sepetu kugombea Ubunge viti maalum Singida

Wema Sepetu kugombea Ubunge viti maalum Singida

Kila la heri sweetheart...hater wachukue tu wine wanywe wasife kwa kihoro manake bidada anaingia bungeni kama utani vile....hutaki sikulazimishi

I like that mrembo by nature km hawataki hawalazimishwi but habari buree gazeti peeesa ndio binti was sepengaa anaingiia hivyoo mjengoni
 
Ndo inakoelekea nchi yetu ssa kama na hyu atapitishwa lulu nae aja mda cmrefu
 
Kweli nimeamini CCM nisawa na kokolo ninazowa kila kitu,kwani anawatoto wangapi?
 
Ipo siku tutaingiza wacheza viduku wote bungeni...
Eti huyu akae na Tundu Lissu wajadili mikataba ya kimataifa...
Siasa zimekuwa nyepesi sana Tanzania...

Teeeeh,teeeeh,mie mbavu zangu miye!!!!!
 
Alieleta hii apa,aliyemshauri kwamba tz inaitaji viongozi wa aina yake,kama ni kijana ni mchawi mtarajiwa kama ni mzee alaaniwe yy na kizazi chake milele

Kama yeye ni member hapa jf,naamini atagahili hachukui tena hiyo form
 
Mbunge mtarajiwa CCM bongo kila kitu kinawezekana
 

Attachments

  • kuwaleta tena kanumba na wema sepetu http easymen.jpeg
    kuwaleta tena kanumba na wema sepetu http easymen.jpeg
    14.6 KB · Views: 187
  • wema wepetu na jumbe wema sepetu na charz baba ha.jpeg
    wema wepetu na jumbe wema sepetu na charz baba ha.jpeg
    13.9 KB · Views: 166
Back
Top Bottom