Mbushi binti
Member
- May 20, 2015
- 6
- 2
Kila la heri sweetheart...hater wachukue tu wine wanywe wasife kwa kihoro manake bidada anaingia bungeni kama utani vile....hutaki sikulazimishi
Ni nini hiki jamani
Hayo ni makalio ya mbunge wetu mtarajiwa!!nitahakikisha naiwasilisha kwa kamati kuu ya ccm singida!mbunge gani ana matattoo?aliambiwa ni chama cha watembea uchi hiki?
Huyu chiz ngoja sasa siasa imtie adabu, anahis huko n instagram palko jmaa mashangingi wenzie eeeh
ha ha ha ha mikanda ya x atasitisha kutoa
Ana haki,kama na wewe unajiona unafaa kachukue tu,na sio kujiuliza kuhusu wengine wanaochukua form
Nafsi yangu inamkataa miaka 800 na watakaomchagua ni vicheche wenzake
Madame akiingia bungen warumi na dinazarde watahama jamii kama sio kuozea jela kabisa
Ipo siku tutaingiza wacheza viduku wote bungeni...
Eti huyu akae na Tundu Lissu wajadili mikataba ya kimataifa...
Siasa zimekuwa nyepesi sana Tanzania...
Hivi watanzania mnatuchukuliaje hii si dharau jamani.
Bado lulu nae....
Alieleta hii apa,aliyemshauri kwamba tz inaitaji viongozi wa aina yake,kama ni kijana ni mchawi mtarajiwa kama ni mzee alaaniwe yy na kizazi chake milele
Fomu za ubunge ccm bado hazijaanza kutolewa. Naona habari haiko kweli
Atakuwa naibu waziri wa habari na michezo, if ingekua 2010-2015 under JK