Wema Sepetu kugombea Ubunge viti maalum Singida

Wema Sepetu kugombea Ubunge viti maalum Singida

sasa ccm ndo inajizika yenye mpaka wema kiongozi wa makahaba bongo movie naye anachukua fomu anatakueneza nn bungeni
 
This is a shame to my country, if she passes to be a MP.
 
Hakika Wema akiwa Mbunge ....nitashangaa sana....! Lakini kwa kule singida hawezi pata na sidhani kama ana harakati zozote kwa Chama cha mapindizu!

Mkuu punguza unafki, Wema ana tofauti gani na wabunge chupi wa viti maalum waliojazana ccm au madc?

Hivi Amina Chifupa, Mboni Mhita na huyu wanawake na maendeleo wa Geita wana sifa zipi za uongozi? Tena hafadhari hata Wema na uwaziri apewe kabisa wa wizara useless kama ile wizara ya wanawake jinsia na watoto.
 
Hafai nasema tena hafai kwa moyo wa dhati hatufai hana hoja she is too junior have no ability to manipulated just a single sentence of elites like Lisu mnyika mdee and others

Madame akiingia bungen warumi na dinazarde watahama jamii kama sio kuozea jela kabisa

ahahahah hii picha nitaitumia kama picha yake ya kampeni ili asishinde huko singida hakyamungu

Hayo ni makalio ya mbunge wetu mtarajiwa!!nitahakikisha naiwasilisha kwa kamati kuu ya ccm singida!mbunge gani ana matattoo?aliambiwa ni chama cha watembea uchi hiki?

Nina hakika bado mnayo yale malimao ya Lambojini ambayo jana imeshindikana kuwalambisha watu, basi muyahifadhi Wema Sepetu anakidhi vigezo vyote vya kuwa mbunge wa vitu maalum ccm tena anavyo vigezo vya ziada.

Jiandaeni kisaikolojoa kama mlikuwa hamuijui ccm sasa ndio mtaijuwa na ndio mtaelewa ni kwanini siku zote tunapambana kuing'oa ccm madarakani.

Hivi mnamuonea Wema tu hawa kina Vicky Kamata, Amina Chifupa Mboni Mhita and likes wana sifa zipi?

Nawahakikishia Wema atashinda kwa kishindo tena kwa ushindi wa mafuriko ndio mtaijuwa ccm muache kuikatikia viuno.
 
Sipati picha, wema ndani ya GX na dereva pembeni. Nahisi kaka manager atakuwa PS. Sipati picha anachangia hoja
" Thank you mh speaker kwa this opportunity for me kuchangia, as you know....... Hapo sauti sasa"
Akiwa anashuka na kupanda pale kwenye zile corridle zenye red carpet, aise itakuwa ni shidaaaa.
 
Nasema hivi labda sifa unazozisema labda hizi hapa
 
All th best Wema sepetu.
Now mimi siongei sana nangoja ushinde watu wasipohama jukwaa kama ilivyo kwenye Tuzo za ktma

Wala usingoje mimi nakuhakikishia Wema anasubili tu kuapishwa, kumbuka hajakurupuka huyu hii nchi imeshikwa na watu wakiamuwa uwe Rais utakuwa sembuse ubunge?

Hifadhi hii post yangu utayakumbuka maneno yangu, tena bora hata Amina Chifupa alishinda kwa zile million 100 ambazo Mpakanjia alizitowa dakika za majeruhi.

Wema atauchukuwa Ubunge free free kabisaa mchana kweupe.
 
Mbona hawa watahama jukwaa. Maana kila kona watakutana na mimi
 
Sipati picha, wema ndani ya GX na dereva pembeni. Nahisi kaka manager atakuwa PS. Sipati picha anachangia hoja
" Thank you mh speaker kwa this opportunity for me kuchangia, as you know....... Hapo sauti sasa"
Akiwa anashuka na kupanda pale kwenye zile corridle zenye red carpet, aise itakuwa ni shidaaaa.
 
Kwa picha hii utakuws umemuongezea sababu za ziada za kamati kuu kupitisha jina lake.

Kuna watu wao kumkojolea miss Tanzania kwao ni fahari tosha.
Andaa malimao kwa wingi Madam ndio huyo kashapata mlango wa kutokea.

ahahahahahaaa!!!hiyo kamati kuu labda iwe bongo movie
 
Back
Top Bottom