Wema Sepetu kugombea Ubunge viti maalum Singida

Wema Sepetu kugombea Ubunge viti maalum Singida

  • huyu dada bint sepetua... Nae anataka ubunge kweli....? Na picha zote za utupu zilizoko google.. Kchukuliana mabwana, uadui na kajal na chuki za wazi wazi kwa wenzie. Hizi timu zisizo na makocha wanazileta kwenye siasa.. Anayo maadili gani ya uongozi na ataleta mabadiliko gani yule? Kweli nimeamini Tza ni kichwa cha mwenda wazimu.... yuleeeeeeeeeeee kwel???i si bora kusiwe na viongozi tuwe state of nature.. everyone is leader of his own.. We live by nature... chama cha kijanii kweli mmeamua kuishia hivooo with no dignity... Kiongoz gani yulee..? atafanyanini? anayo maadili gan? kweli? viti maalumu? Umaarufu kunukaa kajaza picha za uchi google leo ni kiongoziii kwa lipiiii yuleeee? duuuuuuuuuuuuuuuuh....​

Swali ni kwamba hao wasio na picha za utupu na wasiochukuwa mabwana/wake za watu ambao wamekuwa wakituongoza tangu tukubaliwe kujitawala wamefanya nini? Kama ukiweza kusema walichokifanya basi utakuwa na haki kumuhukumu!
 
yuleee binti anayoo maadili gani? kajaza picha za utupu google? singida hakuna wagombea wengine? Tunaelekea wapi? leo dola ni 2400 tunaitaji viongoziii boraa na sio bora awe kiongozi... tuchague viongoziii boraa tunaenda wapi... tutafika lini hukooo? atasaidia nini... tunapelekwa kubaya... wananchi ndio wa kulaumiwa.. kiongozi ana reflect walio mchagua.. tuko nyuma kila sekta kwa uoga na uvivu wa kufikiria.. na kufuata mkumboo. hafaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
MIMI NAMTAKA HUYUUU..

  • 1. asiende kwenye nyumba za ibada kushawishi apewe kura.

    2. asiseme atajenga bara bara na kudumisha afya kwani ni wajibu wa serikali kutenda izo kazi na awatumii pesa yao bali ni kodi za wananchi.. sitoi kura ukija na sera za dizaini hii.

    3. tunamtaka raisi ataeinua uchumi wa nchi ikiwa ni pamoja na kutoa vipaumbele kwa elimu, kilimo na viwanda. kwanini? hii itasaidia sana kwa vijana wengi kupata ajira, wakulima kuuza bidhaa zao kwa viwanda vya ndanii. Itasaidia kuinua uchumi wa nchi sana kwa kuuza bidhaa za viwandani ndani na nje ya nchi pia wakulima watauza bidhaa na kupata soko nje na ndani. na watanzania wengi watapata ajira.

    4. Asiingize siasa kila sekta mfano mzuri ni sekta ya elimu.. Hii sio sekta ya kufanya mambo ya mzaa kama kufaulisha wanafunzi ili upate kura. Watoto hawajui kusoma wanaenda form one.. Hii italeta madhara kwa nchi sanaa kwani kuna ushindani wa kidunia katika ajira sio ajabu kwa mtanzania kuajiriwa marekani, kenya na popote pale. Ila ukiwa na wajinga wenye vyeti vya ufaulu mzuri madhara yake ni makubwa sana ndani ya taifa ndio yalee tunayoyaona kwa baadhi ya vijana, waheshimiwa flani waliokosa uadilifu. Ili taifa liendelee inabidi kuwe na watendaji wenye upeo. Hata ukishinda kwa kufaulisha watu wewe na familia yako mtapata neema ila Tanzania jee?

    5. Raisi awe mjasiri asiye yumbishwa, mzalendo ataeweza kuondoa mfumo ulioko sasa wa kujuana ndio ufanikiwe natoa mifano kidogoo katika soko la ajira uwezi kupata mpaka ujue mtu. pili kwa sasa Tanzania kila kitu mpaka uwe mtoto wa mkubwa ndio ufanikiwe hii imeonekana sanaa sehemu nyingi hata katika shindano la miss tz ambae kafoji vyetii sio hukoo tuu ila wenzangu na mimi tukifojii ndio sheria inafanya kazi.. Hatutaki rais ataeendeleza huo upuuzi kila mmoja awe chini ya sheria.

    6. rais mwenye msimamo hasa katika maamuzi yake yakiutawalaa... Kazi ya uraisi ni kazi yenye changamoto kubwa sanaa inabidi uweledi wa hali ya juu sana.. Tunamtaka kiongozi asiekata tamaa akipata changamoto za kiutawala kiasi cha kukimbia madarakani. Viongozi wengi walioachia ngazi baada ya kutoa maamuzii yasiyo na weledi na kuachia ngazi hawafai kabisa kwani atafanya jambo kwa taifa na kukimbia nchi.

    7. asiwe na skendo zozote za wizi, ufisadi, uroho wa madaraka, mbinafsi, kinyongo, awe mpenda haki na anaesimamia sheria.

    8. afanye mambo kwa maslahi ya taifa na sio kwa ajili ya chama chake sio kiongozi ataewaondoa madarakani wabunge wa chama chake baada ya kuboronga kwa maslahi ya chama bali kwa ajili ya taifa. Na kiongozi akipatikana na kosa lolote mfano la wizii achukuliwe hatua kali ikiwa pamoja na kufungwa kama anastahili.. Sio kusema fedha zirejeshwe na kujiuzulu hapana.. Kwani uraiani ukiiba kuku raia awakwambiii urudishe utafungwa au kuuliwa. Watu woteeee tuwe chini ya sheria na kuwajibika kutokana na matendo yetu.

    9. awe na upeo mpana wa kukabiliana na changamoto za kiutalawa, asikie kilio cha wananchi, aweze kushughulikia mambo. Sio kiongozi unaulizwa kwanini nchi yako haina umeme unasema sijui au mimi sio Mungu. Wakati kuna vyanzo vingi vya umeme mfanoo makaa ya mawe, uranium, sio kutegemea umeme wa majii tuu.

    10. Tanzania ni nchi yenye mali nyingi sanaa ikiwamo madini, milima,maji,bahari, mbuga za wanyama na vituo vingi vya kitalii n.k japo ni nchi masikini sana. Tunamtaka kiongozi ataeweka sera nzuri zinazotekelezeka ikiwa ni pamoja na kutunga sheria ya kuzilinda na kuziifadhi kwa ajili ya vizazi vijavyo. Tuipende nchi yetu ikiwa ni pamoja na kuwafikiria wataokuja baada ya kizazi hiki wasikute mashimoo tuu, tembo hakuna, vifaru hakuna wataishi maisha magumu sana kwa ajili ya mababu zao sio jambo jema. Kiongozi bora ni yule anaetaka taifa liwe imara hata baada ya yeye kutoka madarakani.

    11. Asimamie katiba iwe katiba itayotoa haki sawa kwa wote bila ubaguzi. Iwe katibaa itayotoa fursa kwa vyama vyote. Hii itasidia sana kwani wananchi wataweza kuwawajibisha vyama na viongozi wao kila uchaguzi unapokuja ila katiba ikiwa inabeba chama kimoja kinashinda hata wakikosea hatutokaa tukaendelea na haina picha nzurii. Ila ukiwa mzalendo wa kweli utaweka mwanya kwa wengine wenye uwezo wa kuendesha nchi.

    12. Awe mzalendo na sio mchama kwani chama sio baba wala mama yake pale chama kinapokosea aweze kusema hapana kwa maslahi ya raia wa Tanzania.

    13. Kuweza kuweka mfumo utaotoa fursa sawa kwa wote iwe masikini,tajiri, mlemavu, mwanamke, kijana, mwanaume. Tanzania ukimtoa mwalimu jk sioni kiongozi mwingine alietoa fursa sawa kwa wote kama yeye. Mtaani kuna viongozi wengi wazuri hawajapata fursa, kuna wanasayansi wazuri hawajapata fursa, kuna wachezaji wazuri hawajapata fursa kuna vipaji vingi sana vinavyoweza kusaidia nchi ila mfumo uliowekwa wa kujuana unalibomoa taifa kwa kupata wawakilishi wabovu, waatendaji wa bovu sanaa, viongozi wabovu sanaaa. Kuna sekta hawatumiii weledi kabisaaa wengi huko wamewekwa kiundugundugu hata wakiboronga inasafishwa. kwa mtindo huo atutafika kokote kulee. Tutumie talent au vipaji vinavyostahiliii hii itasaidia sanaa ila kwanza tutoe mfumo wa kujuana kwani utaleta madhara sanaa kwa taifa na jamii kiujumla mwisho wa siku. Mwalimu jk angeweza kuweka watoto wake, ndugu zake ila alipenda Tanzania kama nyumba au familia yake.

    14, Awe mcha Mungu wa kweli.

    15. Tanzania inawahitimu wachache sana wa vyuo vikuu walio na shahada na kuendelea. Tunamtaka kiongozi ataeweza kuwaondolea changamoto ya ajira kwani ni asilimia ndogo sanaa yani 10% haifiki ilaa wakoo mtaani. Kwanini wasifufue viwanda wakati kuna mainjinia waandisi hawana ajira, fani nyingi sanaaa ziko mtaani. Kuna sekta kama ya mambo ya ndani pia inahitaji sana wasomi kule. kwani kuna mambo mengine hayaitaji Nguvu ni akilii na mengine nguvu ila siku zote unaanza kwa kutumia akilii ndio ikishindikana nguvuu.

    16. Aweze kuwawajibisha watendaji wake na kuwasimamia ipasavyoo ikiwa ni pamoja na kuweka sekta chache zile za muhimu kwa taifa.

    MWISHO. Tanzania ni yetu sotee na kila mmoja anayohaki ya kufaidi matunda ya nchi ikiwa ni pamoja na kuishii kwa Amani na Upendo. Mungu ibariki Tanzania.

huyo binti vigezo anavyo, maana barabarani huwa anatembea kavaa nguo fresh, hayo ya kwenye shoo, maigizo, akiwa faraga na mpenziwe hayatuhusu.
 
Mkuu njia pekee ya kupamnana na yeye ni wewe kuchukua fomu kugombea ili umshinde kwakuwa wewe unajiamini kuwa ni msafi.
 
Swali ni kwamba hao wasio na picha za utupu na wasiochukuwa mabwana/wake za watu ambao wamekuwa wakituongoza tangu tukubaliwe kujitawala wamefanya nini? Kama ukiweza kusema walichokifanya basi utakuwa na haki kumuhukumu!
sijahukumu nimetoa ,mawazooo yanguuu kuwa hafai kuwa kiongozi.. unajua maana ya hukumu? nikisema wewe ni mwiziii au kukupiga wapi nimehukumu na wapi nimeshutumu? tofautisha hukumu na shutuma.. nchi imetawaliwa na chama kimoja toka uhuru wew unataka mabadiliko gani wakati ni one political system that dominates in tanzania.. wape kura chama kingine waje viongoz wengine uone mabadiliko.. wewe umefanya mabadiliko gani ya kura yako katka uchaguzi kutaka mAbadilikoo?. wake up think rational don't be driven with those teams with no coacher.
 
Kusema ya kwamba hafai kuwa kiongozi ni tayari umemuhukumu kwa maana inaonyesha unamjua na kumfahamu vizuri na ndio maana ukasema hafai kuwa Kiongozi hivyo hiyo ni Hukumu moja kwa moja!

Kuhusu mabadiliko TanZania kuna uwezekano wa kupiga kura kila baada ya miaka minne - mitano na huwa tunachagua Serikali au watu ambao tunawaona wanatufaa na hawa tulio nao pia tumewachagua kwa kuwa tulimewaona wanatufaa!
 
Mkuu njia pekee ya kupamnana na yeye ni wewe kuchukua fomu kugombea ili umshinde kwakuwa wewe unajiamini kuwa ni msafi.

Sintoshangaa wanawake wa SINGIDA wakimpitisha Wema, maana tabia za WEMA NDO REFLECTION YAO. SO NI KAWAIDA KWAO KAMA MILA NA TAMADUNI ZAO.
 
Ubunge wa viti maalum kwa mujibu wa katiba ya ccm ...MTU anachukua fomu then mkutano mkuu unapitisha baadhi ya majina ambayo kati ya hayo ndo rais atachagua baadhi vivyo hivyo kwa vyama vya upinzan mkuuu
 
Sipati Picha Izo drama atakazoingiza bungeni afu cjui atazirusha kwny kile kipindi chake kilee..naomba mmumuelekeze sehemu ya kufuta mchata wake wa joka shingoni o els avaege pulnek full tym Dodoma:-D:-D:-D
 
IIIIIIGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
Habari gani wadau wa jamii forum... Ni mala yangu ya kwanza kuandika kumuhusu wema sepetu and ukiona nimeandika ujuen kuna something very important nataka kumfundisha au kumsahihisha.
Two weeks ago nilisikia that Wema sepetu ametanganza nia ya kugombea ubunge jimbo la singida mjini.. Mi sjui alitanaza wapi but nimemuona kwenye kipindi cha 360 cha clouds FM akihojiwa hapo ndo nikajua kuwa it was true.

WEMA WEMA WEMA is better for you kugombea ubunge mwaka 2020 if is true that unataka kuwakomboa na kuwaongoza wananchi wa singida. KWA MWAKA HUU HAKIKA HAUTASHINDA NA NAKUHAKIKISHIA KUWA UTAPOTEZA PESA NYINGI NA MUDA PIA sio kwamba nakuvunja moyo but all is true na kwa sababu zifuatazo...

(1)Wema kumbuka kuwa ubunge wa viti maalumu si wakuteuliwa na Raisi kama wengi wanavodhani bali ni ubunge ambao unashindaniwa ndani ya chama na wanawake tofauti tofauti... and kibaya zaidi wanaopiga kura ya kukupitisha ni wanachama tena wenye kadi.... kwa pointi hii hutashinda sababu utakao wakuta huko ni kama ifuatavyo... makada mbalimbali wa chama hicho tena wanaoaminiwa na chama na viongozi, kuna watumishi mbalimbali wa serikari ambao ni wakongwe na wameitumikia serikali na chama kwa ujumla....................LAKINI wewe WEMA hujawahi kuwa hata katibu kata wala mwenyekiti wa kamati so sidhani kama itakuwa rahisi kwa chama kukuamini na ukizingatia wanaoshindania ni watu maarufu na watu mashughuli sana.

(2) WEMA uongozi kupitia chama cha ccm sio rahisi kama unavodhani,,,, viongozi huwa makini sana hata kwenye kumteua mtu kwenye ngazi ya chama kwa kuangalia vitu muhimu ili wasiharibu chama kwa kumuweka mtu ambae atakuw mzigo.. hivyo kwa historia yako wema sidhani hata ukisimama mbele ya NAPE atakuangalia mala mbili......

(3) Wema sidhani kama wale wanawake wa chama husika wataweza kukupitisha na kuwaacha watu ambao ni mashughuli na wenye uwezo mkubwa wa kuongoza na kukuchagua wewe ambae hata hawajui pesa zako huwa unazipataje na wala hawajui wema kawekea kwenye nini.....

(4) lakini pia wema hujawahi kujishughulisha na shughuli zozote za kisiasa wala hujawahi kuwa katika harakati zozote za kiukombozi....... thats why nimekwambia inabidi ugombee mwaka 2020 na kwa hakika utashinda na muda huu wa 5 years anza harakati za kutengeneza mizizi ndani ya chama kwanza kwa kujishughulisha na siasa na ngazi ya chini na kujua kazi za serikali zinaendaje
Hao kina Sugu unaowaona bungeni hawakukurupuka tu na kugombea ubunge.........usidhani usanii wao ndo umewapeleka bali wao walianza harakati za kisiasa mda mrefu na kuonyesha wazi kuwatetea wananchi kwa njia mbalimbali......nadhani hata ukisikiliza nyimbo za sugu nyingin utaelewa naongea nini..........hao kina Desmond wa nigeria walikuwa na harakati za chinichini za kisiasa mda mrefu... ila kwako sijawahi kuona hata kidogo
CCM NI CHAMA CHANGU NA CHAKO PIA JUA KUWA KWA MWAKA HUU SIO RAHISI SAWA UNAJULIKANA NAKINI ASIKUDANGANYE MTU... IF UNATAKA KUSHINDA MWAKA HUU LABDA GOMBEA UBUNGE WA JMBO NA SIO VITI MAALUMU HAPO NAWEZA KUONA UNAEWEZA KUSHINDA MAANA WATU WA KUKUFANYIA PROMO UNAO NA WATAOPIGA KURA NI WANANCHI WOTE.......

HAYO NI YANGU KUTOKANA NA UZOEFU WANGU KATIKA SIASA NA KUJUA MAMBO MENGI KUHUSU CHAMA CHANGU
WEWE JE UNAMAONI GANI.........[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Angalia humo nilimokoleza wino.Kajifunze kuandika kwanza halafu ndio urejee hapa!
 
Kwa uandishi kama huu unaonesha we ni mtu Wa a in a gani!by the way ni mtizamo wako
 
Back
Top Bottom