Wema Sepetu kuhudhuria Birthday ya Tiffa wa Diamond?


Acha ujinga wa kufuatilia maisha ya watu wewe. Hangaika na hamsini zako.
 
Wema njaa inamdhalilisha,Range Rover imeuzwa anatapatapa,ameshamaliza wanaume,si ni yeye alimuacha Diamond kwa mbwembwe zote,na pati alifanya,sasa anajisemesha kutafuta nini tena
Yaani ukieka bifu kwa wawili ambao ata awakusaidii chochote ni kupoteza tu muda sasa wema unamlinganisha na wadada wenye njaa mtaani? Ukute ata familia yako haifiati wala haina hadhi ya kugusa kiatu chake
 
Pia huu ndo wakati muafaka wa kumkubali baba yake kwn nafikiri kama muungwana kwa kitendo cha mamake kumlisha Zari keki kwa kono la mavi jana,atajua kuwa mamake pia ni mshari sana,yawezekana Mzee Abdul alikimbia mtiti wake huyo mama
Nyamaza hujui unaonfea nini.Mtiti wa mama unatosha kumtelekeza Mwanzo Mpaka Pesa ya Daftari humpi?wala matumizi yoyote ya shule huku ukiendekeza wanawake...Yaani anachomfanyia Diamond Baba ake Ni Funzo kwenu Mabazazi mnsohua kupabda mbegu shambani wapaliliji Na wavunaji wachache Bali msubilie kula vilivyotayarishwa.Go Diamond go .
 
I just like Wema naturally not that I hate Zari. But also Zari was also provacative. Jamani mmuache mtoto wamarehemu apumue. Kila mtu ana weaknesses zake
 
Umechemka ndugu,me ni mama and napitia hayo aliyopitia mama diamond. Lkn hata siku moja siwezi mwambia mwanangu lolote baya kuhusu babake. Tangu kuzaliwa hadi sasa yupo shule babake hajawahi nunua hata penseli. So usiongee kama vile we ndo unajua sana. Kumlisha mtoto sumu juu ya mzazi wake mmoja haijalishi ni wa kiume au kike sio jambo zuri,busara ni kukaa naye na kumuuliza why ulifanya hivyo ndo uchukue uamuzi wowote unaoona unafaa. Wangapi hawajalelewa na mzazi wao mmoja na wakamtafuta?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…