Wema Sepetu kuhudhuria Birthday ya Tiffa wa Diamond?

Wema Sepetu kuhudhuria Birthday ya Tiffa wa Diamond?

diamond akimuumiza mama mtoto wake itakuwa chanzo cha downfall yake...ajiulize why yeye hampendi baba yake
Pia huu ndo wakati muafaka wa kumkubali baba yake kwn nafikiri kama muungwana kwa kitendo cha mamake kumlisha Zari keki kwa kono la mavi jana,atajua kuwa mamake pia ni mshari sana,yawezekana Mzee Abdul alikimbia mtiti wake huyo mama
 
Aende wapi? umesahau alipokuwa anamtukana mama yake Diamond.

Aende kwenye sherehe zingine wanaume ni wengi hapo Dar wenye watoto.

She should get a life far away from Diamond, supporting each other in business is a part of life for celebs.
Me nilijua yameshakwisha ndo mana akampost kumtakia hepi besdei
 
Pia huu ndo wakati muafaka wa kumkubali baba yake kwn nafikiri kama muungwana kwa kitendo cha mamake kumlisha Zari keki kwa kono la mavi jana,atajua kuwa mamake pia ni mshari sana,yawezekana Mzee Abdul alikimbia mtiti wake huyo mama
hahahahahhahahahahah "kono la mavi"
 
Hivi ile application ya WEMA aliyoizindua NAPE bado ipo, na inafanya nini?
 
Hapa kuna mtu anakuja kulia muda si mrefu
 
Wema anajisogeza kwa diamond slowly ingekua vizuri amuache diamond atulie na familia yake yeye wema aendelee kusagana na madem wenZie maana ndio michezo yake

diamond kwanza sasa hivi sio ku date mtu Kama wema yaani Anatakiwa akiamua kumuacha zari aende kwa Beyoncé sio hao madem njaa kina sepetu
 
Screenshot_2016-08-06-07-44-05.png

Okay hizini dalili nzuri kwa Utabiri wangu
 
Hivi huyu Mwanamke Wema hana USO wa aibu? Kila gazeti wema., wema inatia kinyaaaa
Diva
Celeb
Bongo Movie
Video Queen
Mwanasiasa
Humanitarian
CEO
Brand Ambassador
Former Miss Tanzania
Former Shemeji wa WCB, Micharazo, TOP Band....

Mkuu, bado ulitaka uandikwe kuliko Madam Wema Sepetu?
 
Hiyu anaefatilia haya mambo ni mwanaume! Daah maisha yanakwenda kasi sana
 
diamond akimuumiza mama mtoto wake itakuwa chanzo cha downfall yake...ajiulize why yeye hampendi baba yake
kwahiyo sikuhizi zari ndo anamtungia mond nyimbo
 
Wema anajisogeza kwa diamond slowly ingekua vizuri amuache diamond atulie na familia yake yeye wema aendelee kusagana na madem wenZie maana ndio michezo yake

diamond kwanza sasa hivi sio ku date mtu Kama wema yaani Anatakiwa akiamua kumuacha zari aende kwa Beyoncé sio hao madem njaa kina sepetu
Kumbe na wewe amewahi kukusaga eti? Pole ukome kujiachia achia.
 
Nachoona ni Wema kuanza kurudisha majeshi taratibu kwa Diamond. Ila mimi napenda kumuona Dai na Zari zaidi kuliko huyo Wema though mapenzi ni maamuzi ya wawili.
Na atakuwa mjinga wa upeo wa juu Diamond kumsahau mtu aliye mtukana Mama mtoto wake na mwanawe toka akiwa tumboni mwa mama yake 'Mimba my Foot' na mpaka anazaliwa,kusamehe kupo na nikuzuri ila kusahau ndio haya weee.
 
Labda washaombana Msamaha. Samehe 7×70
 
Back
Top Bottom