Pia huu ndo wakati muafaka wa kumkubali baba yake kwn nafikiri kama muungwana kwa kitendo cha mamake kumlisha Zari keki kwa kono la mavi jana,atajua kuwa mamake pia ni mshari sana,yawezekana Mzee Abdul alikimbia mtiti wake huyo mamadiamond akimuumiza mama mtoto wake itakuwa chanzo cha downfall yake...ajiulize why yeye hampendi baba yake